OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,309
Tuna imani na Leipzig watatupelekea lijitu Europa [emoji3][emoji3][emoji3]Nina imani sana na RB Leipzig hapo watakaza mpaka jasho la mwisho.
Hata morinyo aliambiwa ivi ivi★Ed Woodward has backed Ole Gunnar Solskjaer, saying the club will support a "planned, long-term approach to recruitment in the summer windows" [emoji837][emoji404]★
#GGMU[emoji123][emoji41]
manutd |View attachment 1641627
Hata morinyo aliambiwa ivi ivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] angalia hili lipunda la migodini
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
mechi ya kesho dhidi ya west ham itachezwa muda gani?
hii ratiba niliyoiangalia inasema ni saa 11:30 na mechi ya chelsea ni saa 2:30.
nimesikiliza redio fulani wanasema mechi ya chelsea ni saa 5 usiku.
kama mechi ya chelsea ni saa 5 usiku basi mechi ya man utd ni saa 2:30 usiku.
nahitaji jawabu sahihi
According to LiveScore game yetu saa 2:30.mechi ya kesho dhidi ya west ham itachezwa muda gani?
hii ratiba niliyoiangalia inasema ni saa 11:30 na mechi ya chelsea ni saa 2:30.
nimesikiliza redio fulani wanasema mechi ya chelsea ni saa 5 usiku.
kama mechi ya chelsea ni saa 5 usiku basi mechi ya man utd ni saa 2:30 usiku.
nahitaji jawabu sahihi
Na mechi 1 mkononiTunaweza kuingia top 4 leo