Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Habari zenu mashetani nawasimu kwa jina la Anthony Martial mnyama mchezaji asiyetambua umuhimu wa kufunga ,deschamps anatafuta mrithi wa Maetro Giroud kila akimwangalia Martial anajiuliza anachezaji ushetanini
 
Mbona mnakata tamaa kizembe hivyo? Man u ya ferg ilikuwa bora sana na bado ilifungwa sembuse ya ole, kumbuka mechi inakuwa DO OR DIE hapo yeyote anafungwa ila man u nampa nafasi ya kushinda, kumbuka man u anahitaji sare tu
Wale watukutu wa ujerumani hawatatuacha salama
 
Na kuna uwezekano mkubwa wa kupangiwa Barca su Bayern mtoano.......
 
Hapana mkuu
Mtoano hatuwezi cheza na timu za EPL ni kuanzia robo fainali
Tutapangwa na Barca au Bayern
 
@Chief Mkwawa atafutwe kokote alipo aletwe hapa mara moja..Kidding

Nilikuwa shabiki mkubwa wa Martial lakini kwa sasa i'm sick tired of him..kajamaa kanakera sana
Kuna haja ya kuanzisha mchango wa kuwanunulia Paracetamol?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…