........niliwaambia hawa ManU kuwa...msilete mchezo mchezo kwenye usajili......kila mliyekuwa mnamtaka alikuwa anachukuliwa na timu nyingine.....mkabakia kuchukua gharasha Fellaine......I never impressed by Fellaine kwenye Midfielder......never....ni afadhali Shinji mara kumi kuliko Fellaine gharasha......sasa hiyo ni alarm imelia...kazi kwenu

Fellaini ni mchezaji mzuri; anafaa kwa style ya United. Leo David alichemsha kuwaanzisha Danny na Ashley. Kama RvP hayupo, unapaswa kuwapanga Kagawa na Javier.
Hili la kuwaacha hao kwa mechi nyingi, linaniogooesha zaidi.

Poleni ni kweli mtani Mie naona Kagawa alikuwa acheze chini ya striker au kutokea kushoto kuingia kati kati ya the carrick angecheza vizuri nafasi yake walijichanganya Fellini na carrick nani acheze Hiyo nafasi ila Yaya aliwafanya Murudi sana nyuma ila mpira unaisha May poleni.