Na uwezekano wa kutufunga tena upo mkuu labda Sevilla mana ile game ya Europa tulikosa magoli kibao tukafungwabarcelona
real madrid
psg
sevilla
hizi team ikitokezea zimetufunga tena kwenye mechi mbili za mtoano basi nitafikiria kutafuta starehe nyengine(mpira nitaacha)
achana na kelele za wapinzani sisi tuna team kubwa ila hatujijui ya kwamba tuna timu kubwa.
Well said ila labda kocha asiwe Solskjaer!!barcelona
real madrid
psg
sevilla
hizi team ikitokezea zimetufunga tena kwenye mechi mbili za mtoano basi nitafikiria kutafuta starehe nyengine(mpira nitaacha)
achana na kelele za wapinzani sisi tuna team kubwa ila hatujijui ya kwamba tuna timu kubwa.
★Basi sisi tunasepa na site yako★
Sure mkuu,hii inconsistency kama tungekuwa na kocha mkali na mwenye kusoma mchezo ipasavyo tusingekuwa nayo..barcelona
real madrid
psg
sevilla
hizi team ikitokezea zimetufunga tena kwenye mechi mbili za mtoano basi nitafikiria kutafuta starehe nyengine(mpira nitaacha)
achana na kelele za wapinzani sisi tuna team kubwa ila hatujijui ya kwamba tuna timu kubwa.
kumbe lile balaa linakuwa robo fainali.....
mechi zetu huwa hazitabiriki haijalishi team fulani ina ubora zaidi ya mpinzani fulani.
kipindi cha nyuma ilipigwa mechi moja ya kibabe sana kati ya liverpool na chelsea
bonge la mechi(funga nikufunge)
bado tunahitaji nafasi ya kwanza ila kufungwa goli 3 na paris kumenivunja moyo sana.
unajua uingereza team tatu zimefuzu nafasi ya kwanza, ikitokezea tumeshika nafasi ya pili mara tunachanganywa waingereza watupu kwenye mechi moja ya mtoano.
wasiwasi wangu ndio huo
Vyenye unaongea utadhani una wachezaji wa maanaWatapokea mkong'oto vyenye hawajawahi ona sidhani kama tutagawa point tatu za bure kama tulivyocheza na basakseher sijui huko
kile kitendo cha kumpiga kichwa mchezaji ni red card, binafsi sijaona utofauti wowote wa tukio alilolifanya na lile lililofanywa na martial dhidi ya spurs.Well said ila labda kocha asiwe Solskjaer!!
Hivi game ya leo dhidi ya PSG kulikuwa na ulazima wowote wa Fred kurudi uwanjani second half???
NB: Halafu hapo bench alikuwa na sub 5.
kile kitendo cha kumpiga kichwa mchezaji ni red card, binafsi sijaona utofauti wowote wa tukio alilolifanya na lile lililofanywa na martial dhidi ya spurs.
kuna rafu fulani alicheza jamaa akapewa kadi ya njano (refa alichemsha)
kipindi cha pili unarudi tena na wanadamu wawili waliokwisha onywa mara tatu na referee tena unacheza na neymar mjanja.
inashangaza sana
unaweza kunifunga kama utamuanzisha matteo kovacic (jamaa anafit mfumo wowote watakaokuja nao wapinzani)Omba usikutane na Chelsea
unaweza kunifunga kama utamuanzisha matteo kovacic (jamaa anafit mfumo wowote watakaokuja nao wapinzani)
kinyume na hapo hata tukicheza mechi tano hazitotabirika.
silaha yako ni kovacic dhidi yetu.
ni mzuri kwa pressing
ni mzuri wa kuua pressing ya adui kwa sababu ana uwezo wa kutembea na mipira
ni mzuri wa tackling
anashambulia pindi anapohitajika
anakaba vizuri ukimuhitaji kufanya hivyo
yule angelino wa man city amekuwa hatari sana huko leipzigNyie pigeni tu porojo RB Leipzig atawakojolea goli 3
yule angelino wa man city amekuwa hatari sana huko leipzig
Naona hadi Leo wamengaa mkuuNayaona ma chelshit na ma Arse8 yanavyoumia kuona Cavani na Bruno waking'aa bila penalty, yameumia kweli kweli na huwezi kuyaona humu week nzima