Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tunafanya mambo yawe magumu sisi wenyewe..

Tusishtuke tukiungana na vilaza Arse8 kwenye Europa League

Ile gemu tuliyoipoteza instanbul nayo tutaikumbuka sana
 
Tunafanya mambo yawe magumu sisi wenyewe..

Tusishtuke tukiungana na vilaza Arse8 kwenye Europa League

Ile gemu tuliyoipoteza instanbul nayo tutaikumbuka sana
Wewe ni nambii sikupingi uropa ni yenu
 
Ole huwa anatumia nini kufanya maamuzi?kila mtu hadi sisi wa kibanda umiza tulijua fred hatarudi second half.
 
Hapana, kama atakuwa ameshinda leo atakuwa na points 9 sawa na nyie kama ikitokea leo mkafungwa.

Hivyo atahitaji ushindi wowote ili awe na 12 points, nyie mbakie na 9.

Mkitoa draw ndo hapo mtamwacha kwa head to head.
sorry nilikuwa sijaangalia msimamo, nilifikiri jamaa wana alama tatu kabla ya mechi ya leo.
kama tutatoa suluhu basi leipzig atatoka ila kama tutafungwa basi ndio europe league inatuhusu.

hatukuwa na sababu ya msingi haswa ya kufungwa na vibonde wa kundi (waturuki)
 
★Marcus Rashford and PSG have history...
PSG boss Thomas Tuchel highlighted the threat of familiar foe Marcus Rashford ahead of tonight's clash with Manchester United.★

#GGMU


manutd |
 
Mkuu mimi naona hata mechi ya leo hakukuwa na sababu ya msingi kupoteza.
 

Mpira ndivyo ulivyo mkuu, game ya Leo kocha kawaangusha, PSG haikuwa timu ya kuwafunga leo.

Kama angefanya sub mapema ya Fred, ninaamini mngekaza hata kutoa sare ambayo ingekuwa nzuri sana kwenu.

Hapo mnaenda kutafuta sare ugenini, itakuwa game ngumu sana. Lakini naona mtapita kwa mtazamo wangu.
 
Kwahiyo mwisho wa siku nyie ndio mkawa vibonde
 
itategemea na mwalimu atakavyojiandaa(sidhani kama leipzig watakuja wakiwa watupu kama ilivyokuwa mechi ya kwanza kwa sababu tumeshawapa matumaini)

nimeona ratiba weekend hii wanacheza na bayern munich huku wakiwa nyuma kwa alama mbili(haitokuwa mechi nyepesi kwao)
ngoja tuone ni jinsi gani watazitunza nguvu zao kwa siku 3 ngumu dhidi ya giants.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…