Manchester United (Red Devils) | Special Thread

tushapigwa mapema tu leo sijui kama tutatoboa maans Ot sahv panatushinda kweli kupata point
 
Nyie Mchicha pori siku hizi kutunza clean sheet imekuwa shida sana
 
Kwamba wasiwachukulie poa, nyie ni mapopoma tu hamna jipya
 
Kosa kama hili kamwe huwezi kuliona kwa Jose.
Hata Fergie alikuwa mtaalamu sana wa hizi sub. Nakumbuka game moja na Arsenal vilitembea viatu sijawahi ona. Game hiyo ndio ya kwanza Van Persie akiwa Man U vs Arsenal. Alitolewa Tom Cleverley baada ya kupata yellow.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…