Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Duh! Zile ndosi za cavan mjinga mjinga hafungi tofauti kati ya wavulana na watu wazima imeonekana
Hakika mkuu,,
Ndy maana nikasema siku moja wakati namchambuwa martial,,
Nilisema striker gani hapigi vichwa?

Martial anapiga kichwa huku kafumba macho..

Leo ndy imeonekana dhahiri kwamba striker no 9 lazima ujuwe kupiga mashuti,,na pia uwe mkali wa vichwa,,

Naamini mkuu sasa timu pinzani zikicheza na man u,,
Macho yote kwa cavani,,,

Hata van persi analijuwa hilo,,,
 
★Lile shuti la Bwana Bruno lilikuwa lakuuwa mtu asee
ila kavani kanifurahisha sana Mwenye namba ake anipe nataka kumtumia na yakutolea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…