Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Takataka kama takataka

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Muda wenu wa vilio umewadia, zingatia fixture yenu, kunywa maji mengi, pumzika muda wa kutosha. Maana dhoruba inayokuja! 😂 sasa hivi hamchezi tena na Krasnodar, Burnley, Stade Rennais, Sheffield United wala Newcastle United. Ni Spurs ukilala ukiamka Sevilla, ukipumzika kidogo ni Leeds United.

Nasubiria suprise package ya Lampard kufuta ninachokiwaza. 😂😂😂
 
Scholes kazi yake ni kuponda.

Ukocha umemshinda sasa ni kutoa kasoro tu.
Scholes anaponda sana..kuna gemu Fred alipambana kichizi huku Tominay akiwa kapotea,lakini mwisho wa siku akamsifia Tominay kuwa ndo aliyecheza vizuri na Fred hastahili kuanza kikosini..nikasema huu ni ubaguzi,,hawa pundit wanaegemea chuki na mahaba
 
De Gea

AWB Lindelof Maguire Telles

VdB Fred Bruno

Greenwood Cavani Rashford/Martial

Kama Fred akiweza kuimprove kwa kiasi fulani na kukamata dimba ipasavyo,kikosi hiki ndo kinachoweza kutupa matokea chanya mengi msimu huu..

Shida ni kuwa Ole ataanza mechi ijayo na Martial as no 9

Telles is miles better than Shaw..Delivery zake ni nzuri sana
 
PP mbona hayupo
 
Huo msimamo wa hilo group ukiliagalia ni fikirishi sn...

Huyu ole huyu?

Yaani timu vibonde wote waliofungwa na man u ndy waliomfunga aliyemfunga man u...
Haya yote ni matokeo ya kikosi cha kipuuzi...

Istanbul 2.
Man u 1.

Endelea kutuwekea CD na track ile ile uliyoweka kwenye tamasha la man u vs Istanbul.. Pale old Trafford..

Man u - 4.
Istanbul - 1.
 
Hakika mkuu. Telles ni evra mpya mkuu..
 
Scholes anaponda sana..kuna gemu Fred alipambana kichizi huku Tominay akiwa kapotea,lakini mwisho wa siku akamsifia Tominay kuwa ndo aliyecheza vizuri na Fred hastahili kuanza kikosini..nikasema huu ni ubaguzi,,hawa pundit wanaegemea chuki na mahaba
Ulimsikiliza mkuu? Game ya juzi niliangalia bt sport, hayo maneno ya bruno waliyachukua tu out of context.

Waandishi wa habari wanapekenyua tu ili wauze.
 
I doubt Combo ya fred na Vdb kama inaweza kucheza Epl, unless ni timu ndogo zisizokuwa na Midfield nzuri, mechi ya Juzi walikuwa wanapitika kirahisi sana.
 
Ulimsikiliza mkuu? Game ya juzi niliangalia bt sport, hayo maneno ya bruno waliyachukua tu out of context.

Waandishi wa habari wanapekenyua tu ili wauze.
Mechi nakumbuka ilikuwa ya ligi tena alikuwa na Allan Smith yule wa Arsenal..Allan akasema "Fred did his job perfectly,just little mistakes
denied him praises" lakini Scholes yeye hakuona hata ukabaji anaofanya Fred
 
I doubt Combo ya fred na Vdb kama inaweza kucheza Epl, unless ni timu ndogo zisizokuwa na Midfield nzuri, mechi ya Juzi walikuwa wanapitika kirahisi sana.
Tuendelee kustick na Fred na Scott hadi lini mkuu?..Offensively tuna struggle sana na hii combo na siku hiyo Fernandes akiwa hayupo mchezoni basi shughuli inakuwa ngumu..

Big match tunaweza kuanza na McFred strategically..lakini hizi burnley,fulham,n.k embu tucheze na hii mido combo tuone aisee

Hata mbeleni ningependa tuwe na Middle atleast wawili wanaoweza kuwa too offensive na mmoja wao kuwa na uwezo mkubwa wa kukaba pia..For the meantime tuipe chansi Fred,VdB na Bruno tuone
 
nakuunga mkono
 
hili hata scholes kalisema
 
Ngoja Mkuu waanze utaniambia, unless fred ame improve dramatically position wise.

Mara Nyingi kwenye kikosi chetu Matic ndio anaweza beba mtu kama Pogba/Vdb kule nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…