Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hiyo playing style ni identity ya United?
 
Hiyo playing style ni identity ya United?
Si identity ya fergie muda mwingi ila tumeshaitumia sana, hasa united ya 2008 ambayo Ole ndio alikuwa kocha wa maforward chini ya fergie.

Ronaldo, Tevez na Rooney wote walikuwa wakicheza pamoja, wanashuka chini wanapanda pamoja, wanabadilishana muda wote, Hii formation ilipewa Nickname ya 4-6-0.
 
Hiyo playing style ni identity ya United?
Mkuu sasa ni modern football,,, enzi ya kutegemea style moja tu,,,, kuweka majalo ,,, zimekwisha..

Lazima timu iwe na mbinu mbadala..

--Sometimes mnatumia pembeni,,
--Sometimes mnatumia njia za kupenyeza..
---Sometimes mnatumia long balls,,,
--Short passes.. Nk..
-- hata kutengeneza penalty.. Kkkkkkkk
Zote ni.mbinu mkuu..

Now timu hazina really identity ktk football ,,,
Wanachotaka ni ushindi..
 
kwema wakuu, naombeni link ya group la mashabiki wa manchester united la whatsapp, linalochambua soka la united na mpira pekee
 
But tunaambiwa OGS alipewa kazi arudishe identity ya United
 
But tunaambiwa OGS alipewa kazi arudishe identity ya United
Identity ya united ni attacking football,,
Sio mambo ya kuchezesha double defensive midifilders...na kujilinda zaidi kuliko kushambulia.

Anapaswa aweke watu wa kupush sana mbele,,kushambulia zaidi.
Ndy maana alipokuja morinho hakufit pale,,united.
Ilionekana anatuletea mambo ya park bus..
Tena old Trafford.
 
kumbe unapigia kelele kitu ambacho hukijui ?
Mkuu umetaka kuelezwa double attacking midifilders ni ipi?na wanapangwane?

Nikakuwekea kikosi,,
Na image ya man u yenye aina ya formation pia nikakuwekea,,

Sasa kuniambiya huyo ni mfumo gani ulimaanisha nn?

Au uonekane unafahamu zaidi kuliko wengine?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…