Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sema hizi timu zetu za youth zimekuwa zina madogo ambao tunaona ni next big thing lakini kadri muda unavyokwenda hizi ndoto zinapotea..Greenwood hajatuangusha so far
Ila mkuu wapo pia wanaotoboa, timu za Epl zenye Academy players wa man United ni Nyingi sana. Na unakuta Hata Kina Januzaj ama perreira wakikosa namba Utd wanakuwa na Career nzuri.
 
Ok ila Hanibal level nyingine yule dogo halafu mtu anasema tuendelee kumvumilia Pogba ?

Huyu dogo angekuwa chini ya Wenger angekuwa alishapewa senior debuts muda mrefu tu.
Bado mtoto sana mkuu, anaweza akapewa debut msimu huu mechi ndogo labda.
 
Pogba ana uzuri gani?
 
Na lingard?
 
Ila kwa Amad Diallo hapa solskjaer alicheza kama pele

Kwa changamoto naungana na ww nikimuangalia Rashford yule wa van gaal na wa sasa ni tofaut wa van gaal alikuwa moto naona ubadilishwaj wa makocha umechangia pia
 
Hivi Romeo kwanini hakutafutiwa timu ya kwenda baada ya sisi kuwa na mpango wa kumrudisha Dean Henderson?
 
Tunamkosea sana huyu jamaa..aondoke tu january
Ni kweli mkuu sio fair tulichomfanyia ila sometime roho mbaya nayo inahitajika. Kwa form ya pickford wangekuwa na Romero Everton bado wangekuwa Juu kileleni, wale ni wapinzani wetu sasa hivi.
 
★Putting in the work

Afu kumbe kwenye chumba cha GYM ma WALLPAPER ya wazee wa kazi yapo yakutosha kina SCHOLES,CR7,GIGGS,CANTONA,BECKHAM,ROY KEANE
sikuwaga nimefuatilia hili★

#GGMU


#manutd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…