Nakumbuka mwanzo alichezeshwa hiyo nafasi pamoja na hao madogo,hoja ikawa amezungukwa na mediocre players wakati hao hao wakimzunguka bruno tunaona ubora wake.Pogba anaperform vizuri ufaransa sababu ya uwepo wa Ngolo Kante na Nzonzi nyuma yake before alikuwa matuidi.
Siku moja nilisuggest Ole amchezeshe nafasi ya Bruno huku nyuma yake wakiwepo Fred na Scot au Matic.
Na kule Ufaransa anafanya vizuri kwa sababu wenzake almost wote wanamkabia.
Hahaaaaa★Bruno Fernandes believes United have the mentality to win the Premier League... Could they?★
#GGMU
manutd |View attachment 1627524
Tumpe nafasi ya game times nyingi ajiamini zaidi.Tumpe muda gani tena?,it's five years now..ukiacha msimu wa 2018-2019 aliojitahidi kidogo,Pogba amekuwa sio mchezaji bora tunayetamani kumuona
Kama mfumo unaruhusu double attacking midifilders ,,azungukwe tu mkuu..Pogba azungukwe na VDB na Juan Mata ?
Hebu tupe mfumo utakaochezesha wewe ili aweze kuzungukwa na hao watu ?Kama mfumo unaruhusu double attacking midifilders ,,azungukwe tu mkuu..
Kwahiyo Pogba akianzishwa attacking midfield au asipotokea benchi defence itaimarika ?Ni kwl ole alikuwa anaanza na
Bruno.
Mtic ..Pogba.
Huu mfumo haukuleta matunda sababu man u hatuna beki imara.
Hapo matic alikuwa anacheza kama dmf..na pogba anacheza attacking pamoja na Bruno.
Timu ilikosa balance ya sehemu ya beki...
Ndy hapo ole alipoanza kuwachezesha
Fed ..mactommy..kukabia juu.
Ili kuleta balance kwenye sehemu ya beki,,
Bado man u beki ni tatizo.. Ni bora kuweka defensive midifilder 2 ili kukabia juu kuliko akina magwea.
Bado pogba ni world class midifilder..
Siku tukipata Sancho na beki nzuri ndy hapo tutarudi kwnye mfumo wa kawaida ..kuchezesha dmf 1 tu..
Man u bado hakuna midifilder kwenye vitu kama pogba...
Tatizo ni kushuka Kiwango kilichosababishwa na ole mwenyewe,,
Kumfanya pogba kutokujiamini..
Halafu unasemaje defense yetu haikuwa imara last season wakati tulifungwa goli chache kuliko timu zote except Liverpool tu ?Ni kwl ole alikuwa anaanza na
Bruno.
Mtic ..Pogba.
Huu mfumo haukuleta matunda sababu man u hatuna beki imara.
Hapo matic alikuwa anacheza kama dmf..na pogba anacheza attacking pamoja na Bruno.
Timu ilikosa balance ya sehemu ya beki...
Ndy hapo ole alipoanza kuwachezesha
Fed ..mactommy..kukabia juu.
Ili kuleta balance kwenye sehemu ya beki,,
Bado man u beki ni tatizo.. Ni bora kuweka defensive midifilder 2 ili kukabia juu kuliko akina magwea.
Bado pogba ni world class midifilder..
Siku tukipata Sancho na beki nzuri ndy hapo tutarudi kwnye mfumo wa kawaida ..kuchezesha dmf 1 tu..
Man u bado hakuna midifilder kwenye vitu kama pogba...
Tatizo ni kushuka Kiwango kilichosababishwa na ole mwenyewe,,
Kumfanya pogba kutokujiamini..
Mkuu mie nashauri tutengeneze timu bila kujali uwepo wa pogba.Tumpe nafasi ya game times nyingi ajiamini zaidi.
Bado wachezaji wengi wa pale man u ni kama homa ya vipindi,,
Leo wapo form ,,kesho wameshuka viwango.
Bado pogba hajazungukwa na watu sahihi pale man u.
Tunachotakiwa kufanya ni kumletea watu pogba,,
watakao mzunguka ili awe free na dance zake...
Bado pogba ni mchezaji mzuri ,,
nakumbuka hata msimu wake wa kwnz watu walimuongelea vibaya sn,,
Baada ya muda akakaa sawa...Kiwango chake kikarudi kuwa juu.
__Tumpe confidence pogba,,,
--- Aanze first 11.
-- ole abadilishe mfumo ambao utamfanya awe free zaidi..
Na sio kumzodoa...
Ni kwl pogba huyu wa leo sio yule wa juventus...
lakini tumpe muda wa kirudi kwnye Kiwango chake.
Ukweli mchungu huu, jamaa amebadilishwa kila mfumo lakini hakuna kinachobadilika.Nakumbuka mwanzo alichezeshwa hiyo nafasi pamoja na hao madogo,hoja ikawa amezungukwa na mediocre players wakati hao hao wakimzunguka bruno tunaona ubora wake.
Bado haijulikani pogba anataka nini ili awe kwenye ubora wake.
Pogba alianzia bench mkuu,,Hivi mechi yetu na Instanbul na Arsenal Pogba alicheza position ipi ?
Ni kwl hakuna mchezaji mkubwa zaidi ya club.Mkuu mie nashauri tutengeneze timu bila kujali uwepo wa pogba.
pogba sio messi wala ronaldo kwamba ni aina ya wachezaji wanaopatikana mara moja kila baada ya miaka 50-100
Kwanini tufanye mabadiliko mengi hivyo ili tu kuupata ubora wa pogba?
Kitu cha msingi tutengeneze timu ambayo inacheza kama kitu kimoja kuanzia kukaba kushambulia.
Fikiria tufanye mabadiliko mengi hivyo halafu kwa ajili yake halafu anapata majeraha ya kumuweka nje miezi kibao nje,tutalia
Ukichanganya na kauli zake za hivi karibuni,jamaa atuachie timu yetu akatafute malisho mema kwingine tu
Pogba azungukwe na VDB na Juan Mata ?
Sasa wewe takataka hayo makombe luka aliyapata kwa kupewa? Ci uwezo wake binafsi ndo umempa hayo mafanikio..bruno "Man of the match" una mfananisha na Balllon'Dio Winner
Ndïo tuliwachabanga moja kwa nungeKwani nyie mlitufunga?