Hivi mechi yetu na Instanbul na Arsenal Pogba alicheza position ipi ?Box to box ni mfumo au aina ya midfielder mfano wa Fred?
Hakuna attacking midfielder ambaye ni box to box midifilder,,,
Pogba anapaswa acheze attacking zaidi ,acheze juu..
Akizungukwa na midfilders creative mfano wa Bruno na VDB au mata.
Nimeshuhudia mechi nyingi za united wakchezesha attacking midfilder mmoja tu ambaye ni Bruno pekee ,
chini yupo mactommy na Fred.
Martial
Rashford. Greenwood.
Bruno
Fred. Mactommy
Shaw. ,lindleof, magwea. Wbs
Degea.
Hapo pana attacking midifilder wangapi?
Ole akiona anazidiwa atamwingiza either VDB,,au pogba kurudi kwenye mfumo wa double attacking midifilders..
Kwann asiwaanzishe hao mmoja kati ya pogba au VDB?tuwe attacking zaidi?
Hatuwezi kuwa hatari zaidi kwenye eneo la adui kama tukiendelea kutumia mfumo wa double dmf.
Ukizingatia hatuna natural winger mfano wa Sancho..
Unategenea nn?
Fred na mactommy hawana pasi za mwisho za magoli,,sasa unategemea Bruno pekee ndy atengeneze nafasi?
Ole abadilike.
Hata Mourinho kamchezesha kila sehemu lakini ngoma bado ngumu..wanakwambia hatumiwi vizuri..Mfumo gani ambao Pogba hajachezeshwa msimu huu ?
Hatuna namba 6 ambaye anatuwezesha tucheze na attacking mid wawili, unless tunacheza na timu mbovu mbovu. Fred na mc tominay kwa wakati tofauti tofauti wanacheza Vibaya wakisimamishwa wenyewe kama lone no 6.Box to box ni mfumo au aina ya midfielder mfano wa Fred?
Hakuna attacking midfielder ambaye ni box to box nidifilder,,,
Pogba anapaswa acheze attacking zaidi ,acheze juu..
Akizungukwa na medifilder creative mfano wa Bruno na VDB au mata.
Nimeshuhudia mechi nyingi za united wakchezesha attacking mmoja ambaye ni Bruno pekee ,na chini yupo mactommy na Fred.
Martial
Rashford. Greenwood.
Bruno
Fred. Mactommy
Shaw. ,lindleof, magwea. Wbs
Degea.
Hapo pana attacking medifilders wangapi?
Ole akiona anazidiwa atamwingiza either VDB,,au pogba kurudi kwenye mfumo wa double attacking midifilders..
Kwann asiwaanzishe hao mmoja kati ya pogba au VDB?
Hatuwezi kuwa hatari zaidi kwenye eneo la adui kama tukiendelea kutumia mfumo wa double dmf.
Ukizingatia hatuna natural winger mfano wa Sancho..
Unategenea nn?
Fred na mactommy hawana pasi za mwisho za magoli,,sasa unategemea Bruno pekee ndy atengeneze nafasi?
Pogba anaperform vizuri ufaransa sababu ya uwepo wa Ngolo Kante na Nzonzi nyuma yake before alikuwa matuidi.Hata Mourinho kamchezesha kila sehemu lakini ngoma bado ngumu..wanakwambia hatumiwi vizuri..
Lakini ukweli tunashindwa kuukubali tu kuwa Pogba ni mid ambaye yupo so "careless" na haheshimu juhudi za wenzake uwanjani
Kinachoumiza ni kutokea bench,Mfumo gani ambao Pogba hajachezeshwa msimu huu ?
Nakubaliana na Hii issue ya kuwa "careless" jamaa anakosa Concetration, ila Still anatusaidia.Hata Mourinho kamchezesha kila sehemu lakini ngoma bado ngumu..wanakwambia hatumiwi vizuri..
Lakini ukweli tunashindwa kuukubali tu kuwa Pogba ni mid ambaye yupo so "careless" na haheshimu juhudi za wenzake uwanjani
Hakuna Mchezaji Mkubwa kuliko Timu, Ole mwenyewe maisha yake Yote ametokea Benchi, 1999 alitupa Uefa na Fa cup, alikuwa ndio super star wa timu lakini bado akaendelea kukaa benchi.Kinachoumiza ni kutokea bench,
,Leo huyo Bruno wanayemsifia kwa Kiwango chake,,
Siku akianza kuwekwa bench utamsikia atakavyo lalama,,na pengine kupoteza uwezo wake.
Pia ni kwl pogba kachezeshwa mifumo mingi lakini kocha anapaswa abaki kwnye mfumo huo ili uzoeleke na wachezaji,,
Sasa Mara kwamweka bench ,Mara kabadilisha mfumo huu,,
Kwa kifupi kocha haeleweki anachezesha mfumo gani,
Ni kama tunabahatisha ushindi wetu.
.
Tusilaumu pogba kwa sasa,, tumpe muda kama tulivyompa magwea ,,degea,,rashford na wengine..
Mchezaji aliyezowea kuanza first eleven,,, akianzia bench kuna wengine linamuathiri sn kichwani..
Pogba bado ni world class,,hastahili kuanzia bench..
Pogba anamiaka ni mchezaji wa tano kwa kuwa na muda mrefu pale United ukiondoa De Gea, Mata, Shaw na Martial.Kinachoumiza ni kutokea bench,
,Leo huyo Bruno wanayemsifia kwa Kiwango chake,,
Siku akianza kuwekwa bench utamsikia atakavyo lalama,,na pengine kupoteza uwezo wake.
Pia ni kwl pogba kachezeshwa mifumo mingi lakini kocha anapaswa abaki kwnye mfumo huo ili uzoeleke na wachezaji,,
Sasa Mara kwamweka bench ,Mara kabadilisha mfumo huu,,
Kwa kifupi kocha haeleweki anachezesha mfumo gani,
Ni kama tunabahatisha ushindi wetu.
.
Tusilaumu pogba kwa sasa,, tumpe muda kama tulivyompa magwea ,,degea,,rashford na wengine..
Mchezaji aliyezowea kuanza first eleven,,, akianzia bench kuna wengine linamuathiri sn kichwani..
Pogba bado ni world class,,hastahili kuanzia bench..
Kwahyo unataka kusema pogba ni attacking 6 au defensive midifilder 6 ?Hatuna namba 6 ambaye anatuwezesha tucheze na attacking mid wawili, unless tunacheza na timu mbovu mbovu. Fred na mc tominay kwa wakati tofauti tofauti wanacheza Vibaya wakisimamishwa wenyewe kama lone no 6.
Na sio lazima Ucheze juu kuwa creative, mfano Pirlo maisha yake yote anacheza chini na ni creative player (deep lying playmaker), pia Yaya Toure, paul scholes (miaka ya 2000) na wengine wengi.
Quality kubwa ya Pogba ambayo anayo wachezaji wengine hawana kwenye kikosi chetu ni pasi ndefu, huwezi ukapiga pasi ndefu ukiwa karibu na golikipa wa timu pinzani. Pia anajua kudrible ambayo pia ni positive akiwa anatokea nyuma.
World cup, alipokuwa juve, Hata utd anacheza vizuri zaidi akitokea chini,
Mechi za mwanzo wa msimu huu na zile za kumaliza msimu Ole alikuwa anaanza na Matic+Bruno+Pogba..combo hii haikutoa matunda mazuri na Pogba ndo aliyeonekana kupotea zaidi..Kuanza kuwekwa benchi ni kudhihirisha hilo..sasa tunataka tena tuanze kuvuruga vuruga timu ili Pogba awe anaanza..inabidi ashawishi watu kuwa inabidi aanze na sio kusema tu kuwa jamaa ni world class na blah blah..Kinachoumiza ni kutokea bench,
,Leo huyo Bruno wanayemsifia kwa Kiwango chake,,
Siku akianza kuwekwa bench utamsikia atakavyo lalama,,na pengine kupoteza uwezo wake.
Pia ni kwl pogba kachezeshwa mifumo mingi lakini kocha anapaswa abaki kwnye mfumo huo ili uzoeleke na wachezaji,,
Sasa Mara kwamweka bench ,Mara kabadilisha mfumo huu,,
Kwa kifupi kocha haeleweki anachezesha mfumo gani,
Ni kama tunabahatisha ushindi wetu.
.
Tusilaumu pogba kwa sasa,, tumpe muda kama tulivyompa magwea ,,degea,,rashford na wengine..
Mchezaji aliyezowea kuanza first eleven,,, akianzia bench kuna wengine linamuathiri sn kichwani..
Pogba bado ni world class,,hastahili kuanzia bench..
Pogba siyo kwamba ni mchezaji mbaya hapana tatizo siku zote kwenye mechi zetu yeye ni weaklink yetu defensively.Nakubaliana na Hii issue ya kuwa "careless" jamaa anakosa Concetration, ila Still anatusaidia.
Mechi zote mbili za Uefa kubwa tulizoshinda Ya Psg na RB leipzig pasi za Magoli ya Ushindi zimetoka kwa Pogba.
Uliangalia mechi yetu na Arsenal au ile na Instanbull ?Kwahyo unataka kusema pogba ni attacking 6 au defensive midifilder 6 ?
Hao akina Fred na mactommy wanacheza double dmf,, na pia tunaweza kuchezesha double attacking midifilders kwa wakati mmoja tukaua winger moja,,
Mbona tukizidiwa ole anacheza hivyo?
Anamuingiza either VDB au pogba ,, Na timu inarudisha uhai?
Pogba ni 6 lakini sip defense midifilder,,,anacheza 6 ya kuwa free zaidi,lazima alindwe na defensive midifilder..
Hata alipokuwa juve akizungukwa na watu,, ili awe free zaidi..
Tatizo mkuu unataka kuforce mchezaji lazima awe defensive midfielder ama attacking midfielder.Kwahyo unataka kusema pogba ni attacking 6 au defensive midifilder 6 ?
Hao akina Fred na mactommy wanacheza double dmf,, na pia tunaweza kuchezesha double attacking midifilders kwa wakati mmoja tukaua winger moja,,
Mbona tukizidiwa ole anacheza hivyo?
Anamuingiza either VDB au pogba ,, Na timu inarudisha uhai?
Pogba ni 6 lakini sip defense midifilder,,,anacheza 6 ya kuwa free zaidi,lazima alindwe na defensive midifilder..
Hata alipokuwa juve akizungukwa na watu,, ili awe free zaidi..
Ni kwl ole alikuwa anaanza naMechi za mwanzo wa msimu huu na zile za kumaliza msimu Ole alikuwa anaanza na Matic+Bruno+Pogba..combo hii haikutoa matunda mazuri na Pogba ndo aliyeonekana kupotea zaidi..Kuanza kuwekwa benchi ni kudhihirisha hilo..sasa tunataka tena tuanze kuvuruga vuruga timu ili Pogba awe anaanza..inabidi ashawishi watu kuwa inabidi aanze na sio kusema tu kuwa jamaa ni world class na blah blah..
Pogba ni attacking midifilder,, ndy maana anapaswa azungukwe na defensive midifilders ili awe free zaidiTatizo mkuu unataka kuforce mchezaji lazima awe defensive midfielder ama attacking midfielder.
Wote Mc tominay na Fred wanacheza Kama Central Midfielder, sio wakabaji tu ama washambuliaji tu.
Mechi tuliyoua winga ya Mwisho ni vs Arsenal, wala hujitaji kuelezewa kilitokea nini.
Hii ni heat map ya Pogba akiwa Man Utd utaona ni maeneo gani anakaa sana,
View attachment 1628580
Pogba yupo uwanja Mzima na sio Defensive midfielder.
Niliangalia mkuu,,lakini haimaanishi kufungwa ndy kumesababishwa na mfumo,,Uliangalia mechi yetu na Arsenal au ile na Instanbull ?
Ulifanya assessment ta timu performance wise ?Niliangalia mkuu,,lakini haimaanishi kufungwa ndy kumesababishwa na mfumo,,
Sometimes bahati pia inahitajika kwenye football..
Ni kwl mkuu,,lakini oleguna na tedy sherigham walikuwa wanaingizwa wote kwa pamoja na Ferguson,,hawa walikuwa ni game changer.Hakuna Mchezaji Mkubwa kuliko Timu, Ole mwenyewe maisha yake Yote ametokea Benchi, 1999 alitupa Uefa na Fa cup, alikuwa ndio super star wa timu lakini bado akaendelea kukaa benchi.
Na Kutokea benchi sio dharau bali ni ishara pia Kocha anakuamini unaweza badili matokeo.
Kipindi cha Fergie nani Alikuwa na Namba? Mtu yoyote ambaye hakuwa kwenye form benchi lilimhusu, midfield zetu zote zilikuwa zina rotate.Ni kwl mkuu,,lakini oleguna na tedy sherigham walikuwa wanaingizwa wote kwa pamoja na Ferguson,,hawa walikuwa ni game changer.
Maana ilikiwa ndy mfumo wa fegy time...
Kwamba wanapewa dk 15 tu za mwisho au 20.
Na wao walikuwa washazoea hilo,,kutokea bench...na kugeuza matokeo.
Hao walikuwa ndy super b wa fergy lakini maisha feggy hawaanzishi ..first 11.man u.
Nazungumzja mchezaji ambaye ni first 11 aliyezoeleka..
halafu umsugulishe bench,,
Hakuna world class player atakubali hilo..
Na mbaya zaidi acheze Fred na mactommy over pogba..
Hivi hata messi au Ronaldo umsugulishe bench mtaelewana kweli?
Pogba ni Central Midfielder siyo attacking midfielderPogba ni attacking midifilder,, ndy maana anapaswa azungukwe na defensive midifilders ili awe free zaidi