D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
ok, ndio maana wakamtaka kwa jumla.Pale Ac Milan tayari ameshatoa assist za kutosha na kufunga.
Yule alikuwa tiba ya ugonjwa wetu kulia.
Response yake iliua kila kelele zilizokuwa zinapigwa.swadakta
kuna wakati media za kiengereza zilitaka kumweka lawamani.
nafikiri baada ya kufungwa na tottenham hotspurs
Tayari ameshajihakikishia namba nimeangalia kama mechi nne hivi ameanza zoteok, ndio maana wakamtaka kwa jumla.
anacheza kila siku?
Bissaka alimwachia Juan Mata azibe nafasi yake yaliyotokea ndiyo hayo.umemuona zombie maguire anavyokimbilia eneo la tukio
na walishaanza kumpa mualiko kwenye media bwana pochettinoResponse yake iliua kila kelele zilizokuwa zinapigwa.
Media za Uingereza hazina maisha bila kuiongelea United
kama namuona don woodward anavyotikisa miguu....Tayari ameshajihakikishia namba nimeangalia kama mechi nne hivi ameanza zote
Cha ajabu hizi habari za Pochetino huwa zinaibuka Man united akifungwa tu.na walishaanza kumpa mualiko kwenye media bwana pochettino
teh teh teh waengereza na man utd
Huenda hawatamuuza japo kuimarika kwa Brandon William's kutafanya Dalot asihitajike tena.kama namuona don woodward anavyotikisa miguu....
wazeee wa dividends (glazer family) na wao wananyatia mpunga
team yetu ina wanyanganyi na si matajiri
Fernandes: "I don't need to think about a hat-trick. [I set up Edinson Cavani because] for a striker it is important to score for his confidence, he will be important for us and the first goal will give him confidence." #muzone [bbc sport]
Anatambua sana kazi yake siyo kama yule jamaa anayelala akiota kwenda Real Madrid.Bruno siku zote anafikiria kuhusu timu, ndio maana hata akiwa na mechi mbovu vipi bado ninakuwa upande wake
ukiachana na matokeo ya msimu uliopita yaliopelekea kufukuzwa kwake, pochettino aliweza kuifanya spurs iwe ni timu ya ushindani kimatokeo ( consistent performance) kwa takribani miaka 5 isiyokuwa na bajeti kubwa ya usajili.Cha ajabu hizi habari za Pochetino huwa zinaibuka Man united akifungwa tu.
Kibaya zaidi always ni Pochetino kama vile hakuna makocha wengine ambao wanauwezo wa kuchukua nafasi ya Ole.
Tutacheza nao November 29 tukitoka kwenye mechi yetu na Instanbul B tutakutana na Southampton wakiwa pale Saint James Parkukiachana na matokeo ya msimu uliopita yaliopelekea kufukuzwa kwake, pochettino aliweza kuifanya spurs iwe ni timu ya ushindani kimatokeo ( consistent performance) kwa takribani miaka 5 isiyokuwa na bajeti kubwa ya usajili.
poche pia ana uzoefu mkubwa sana wa ligi kuu ya uingereza nakumbuka alianza kazi akiwa na southampton na alijenga timu nzuri sana pale, kivyovyote media za kiengereza hazitokuwa tayari kumpoteza mwanadamu mfano wake.
sijui ujio wake wa kati kati ya msimu utatufaidishaje(hilo ni swali linaloweza kujibiwa na wahusika wenyewe)
===================
hivi mechi yetu dhidi ya southampton iko mbali sana,
teh teh teh hiyo mechi itukute ole akiwa bado ni mwalimu wetu.
natamani kuiona comeback yake kuanzia tactics na matokeo dhidi ya mtaalamu asiyeimbwa Ralph Hasenhüttl.View attachment 1622196

"People don't want us to do well. Why? Probably because of the success we've had in the past."- Harry Maguire