Kaongea kama mtu mzima ,angekuwa Rashford pale lazima angelazimisha apige na uwezekano mkubwa angekosa kama kawaida yakeFernandes: "I don't need to think about a hat-trick. [I set up Edinson Cavani because] for a striker it is important to score for his confidence, he will be important for us and the first goal will give him confidence." #muzone [bbc sport]
Tukimuita mshirikina tutakuwa tumekosea kweliOle huwa anashinda anapoona kibarua kinaota nyasi muda wowote
Sana jamaa ni matured sana hivyo anatanguliza timu mbele kuliko mafanikio yake binafsi.Kaongea kama mtu mzima ,angekuwa Rashford pale lazima angelazimisha apige na uwezekano mkubwa angekosa kama kawaida yake
Katika makocha wakubwa wote ambao wanafundisha Ole bado hajamfunga Klop na Zidane tu.
Huyu alifaa sana kuwa captain na sio yule taairaFernandes: "I don't need to think about a hat-trick. [I set up Edinson Cavani because] for a striker it is important to score for his confidence, he will be important for us and the first goal will give him confidence." #muzone [bbc sport]
Ataupata tu muda ukifika.
Iyo nayo ni sifa?? Hii timu sie mashabiki tunataka makombe tu na sio huo ujinga ulioniandikia ambao hauna faida yoyoteKatika makocha wakubwa wote ambao wanafundisha Ole bado hajamfunga Klop na Zidane tu.
Ligi bado haijaisha na mashindano bado yako kwenye preliminary stages.Iyo nayo ni sifa?? Hii timu sie mashabiki tunataka makombe tu na sio huo ujinga ulioniandikia ambao hauna faida yoyote
Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
@Chief-Mkwawa anakwambia ndo lethal striker pale epl.Njooni tumseme Martial kacheza dk 80 no shoot on target, 1 shoot off target, 1 big chance missed.
We jamaa acha miyeyusho.I want to extend my heartfelt gratitude to all of you guys for the beautiful messages i'm getting. Y'all sound like my mum with those encouraging words. We are united.
Happy sunday mates.
Ole ana misimu mingapi hajafanya lolote la maana ..kila msimu yee anang'ata na kupuliza tu😂😂😂😂Lampard ana maajabu gani?
Duh! ana makombe mangapi?Katika makocha wakubwa wote ambao wanafundisha Ole bado hajamfunga Klop na Zidane tu.
Nafikiri Ole bora angewaamini Fred na Scot kwenye hiyo double pivot mbele yao awe anawarotate Pogba, Bruno na Donny.udhaifu wa Ole Gunnar kwenye suala lazima la kuisimamia timu na hatimaye kuzalisha inconsistency performance isiwe sababu ya kutokuwapa heshima wachezaji wanaojitolea kwa jasho lao kila dakika wanayopewa bila ya kujali matokeo tunayoyapata.
- kuna uhusiano wowote wa kufanya kwetu vibaya na kutokumpa heshima inayostahili fred kwa kile anachokifanya pindi tunapotumia mfumo wa double pivot?
- labda kuanza kwake vibaya msimu wake wa kwanza ndio imekuwa ni tiketi ya kuendelea kutokuthamini mchango wake bwana fred kwa kadri anapocheza kwenye huu mfumo wa double pivot?
his position is phenomenon,
jamaa ni bingwa wa kunusa hatari za team pinzani bila ya kujalia adui anayepambana naye physically,
jamaa ni bingwa wa kutembea na mipira mbele japokuwa hamzidi nemanja matic,
jamaa ni bingwa wa kufanya tackles za uhakika yabaki tu maamuzi ye referree.
tusisubirie tumeshika nafasi ya 1-4 ndio tuanze kuwasifia baadhi ya wachezaji wetu.
tumpe heshima yake FRED
kwa kutegemea na mechi husika, nisingependa kumuona Ole anaanza na fred scott kwa wakati mmoja dhidi ya timu kama west ham ambao hupendelea zaidi kucheza soka la kujilinda(pafu la fred naamini linatosha kuwadhibiti) huku ukiongeza wigo wa ufundi eneo la ushambuliaji.Nafikiri Ole bora angewaamini Fred na Scot kwenye hiyo double pivot mbele yao awe anawarotate Pogba, Bruno na Donny.
tunakuwa vizuri kiulinzi ila tatizo letu kubwa tunaacha gapes kubwa sana between the line ya kiungo na ushambuliaji, vile vile tunaacha space kubwa sana kati ya mchezaji mmoja hadi mwengine,Wale jamaa wawili wakicheza pamoja timu inakuwa salama sana defensively lakini pia wanampa uhuru Bruno wa kufanya kazi yake mbele.
Hii inatokana na sababu ya strikers wetu kutofanya pressing hasa Rashford na Martial ndiyo maana Bruno anafanya hii kazi ya kipunda muda wote.tunakuwa vizuri kiulinzi ila tatizo letu kubwa tunaacha gapes kubwa sana between the line ya kiungo na ushambuliaji, vile vile tunaacha space kubwa sana kati ya mchezaji mmoja hadi mwengine,
mfano inapotokezea mchezaji wetu amevamiwa na adui anashindwa kupata msaada kwa haraka vartically, huu ujinga ulitokezea sana kwenye mechi yetu ya spurs
mfano mwengine unamkuta bruno anafanya pressing kule juu lakini midfield wetu wawili wanakuwa chini sana (kwenye duara dogo la kati)
Hii inatokana na sababu ya strikers wetu kutofanya pressing hasa Rashford na Martial ndiyo maana Bruno anafanya hii kazi ya kipunda muda wote.tunakuwa vizuri kiulinzi ila tatizo letu kubwa tunaacha gapes kubwa sana between the line ya kiungo na ushambuliaji, vile vile tunaacha space kubwa sana kati ya mchezaji mmoja hadi mwengine,
mfano inapotokezea mchezaji wetu amevamiwa na adui anashindwa kupata msaada kwa haraka vartically, huu ujinga ulitokezea sana kwenye mechi yetu ya spurs
mfano mwengine unamkuta bruno anafanya pressing kule juu lakini midfield wetu wawili wanakuwa chini sana (kwenye duara dogo la kati)