Huyu Ole mnaye. Maombi yenu ya kufungwa ili afukuzwe yamekataliwa.
Team yake inategemea na walivyoamka siku iyo au team pinzani wanacheza vipiOle hata haelewiki Moto/Barid/Vuguvugu kote yumo dah
Sema Bruno fundi aisee kama vile anataka kupiga hat-trick kumbe anampa Cavani bhana!3rd goal. CavanView attachment 1621468
Anazingua sana, kukosa consistency maana yake mwishi wa msimu timu itamailza nafasi za mid table, na 55% win, 25% draw na 20% loss... Ndio Man U anakoipeleka.Team yake inategemea na walivyoamka siku iyo au team pinzani wanacheza vipi
Sema Bruno fundi aisee kama vile anataka kupiga hat-trick kumbe anampa Cavani bhana!
Na karudi timu imeanza kushinda Coincidence?Njooni tumseme Martial kacheza dk 80 no shoot on target, 1 shoot off target, 1 big chance missed.
Goal la 2 tafadhali
🤣 🤣 🤣Nilijua lazima ungekuja tu mkuu kwa jinsi unavyomkubali dogo.Na karudi timu imeanza kushinda Coincidence?
Kwanza mkuu usifikiri kama Martial ni favourite player wangu, nampenda kama ninavyompenda Rashford, Bruno etc.🤣 🤣 🤣Nilijua lazima ungekuja tu mkuu kwa jinsi unavyomkubali dogo.
Yaani Ole in mitano mingine😁😁Kwaio tumekubaliana ole anabaki, mitano tena
Link up play inakuwa nzuri with Martial kuliko striker mwingine yoyote.Kwanza mkuu usifikiri kama Martial ni favourite player wangu, nampenda kama ninavyompenda Rashford, Bruno etc.
Kitu fans wetu wengi wasichoelewa ni Role ya no 9 kwenye mfumo ambao ni fluid kama wetu, Tuna rekodi mbaya sana tukicheza bila martial, Huyu Dogo anakuwa kama Gundi kuunganisha ile Attacking yetu hata Asipofunga na Ku assist.
Na hata Kama Martial anakuwa replaced basi anatakiwa forward kama yeye, ndio maana tulikuwa linked sana na Raul wa wolves.
Kwanza mkuu usifikiri kama Martial ni favourite player wangu, nampenda kama ninavyompenda Rashford, Bruno etc.
Kitu fans wetu wengi wasichoelewa ni Role ya no 9 kwenye mfumo ambao ni fluid kama wetu, Tuna rekodi mbaya sana tukicheza bila martial, Huyu Dogo anakuwa kama Gundi kuunganisha ile Attacking yetu hata Asipofunga na Ku assist.
Na hata Kama Martial anakuwa replaced basi anatakiwa forward kama yeye, ndio maana tulikuwa linked sana na Raul wa wolves.
Hapo wote nimewaelewa. Huyu dogo asipokuwepo kule mbele huwaa panakuwa hovyo sana, mipira haikai.Link up play inakuwa nzuri with Martial kuliko striker mwingine yoyote.
Ndiyo maana timu inakuwa consistent going forward na tutakuwa lethal kwenye final third.