mozila firefox
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 898
- 1,764
Duuuh kweli OGS must goLIVERPOOL DEFENSE THAT PLAYED AGAINST ATLANTA.
Gomez £3.5m
Arnold £0
R. Williams £0
Robertson £8
TOTAL = £11.5m
ATLANTA 0-5 LIVERPOOL
MANCHESTER UNITED DEFENSE THAT PLAYED AGAINST BASAKSEHIR
Maguire £87
Tuanzebe £0
Shaw £30
Wan Bissaka £55m
TOTAL = 172m
BASAKSEHIR 2-1 MANCHESTER UNITED
Afadhali ya pochetino hata mpira mzuri tutauona!Hakuna kitu kama hicho hata hivyo Pochetino na Ole ni daraja moja tu.
Maguire na Linderlof wanapataje namba kwa Gabriel na Holding? Acha utani, mchezaji anayeweza kuingia katika kikosi chetu ni bruno/mata tu, hao wengine watasubiri mbao ndefuHao wachezaji uliowataja wote wanakuwa regular starter pale Arsenal
Tulia usuuzweSina chakuongea chochote, nang'aa sharubu tu
Ongeeni na Leeds awauzie kocha wake.
Soko la makocha ambao ni world class ni gumu sana kipindi hiki.
Hata Guus Hiddink Yuko sokoniHata mimi namuona hivyo ukiniambia kocha ambaye walau anaweza kufaa kuifundisha United ni kocha wa Southampton kwa walioko EPL.
HajawahiIvi huyu jamaa aliwahi ipenda aseno kweli???
Pale Arsenal kuna mchezaji gani walau anayekaribia kiwango cha Edson Cavani ?
Kuna mchezaji gani walau anayekaribia kiwango cha Paul Pogba ?
Kuna mchezaji gani walau anayekaribia kiwango cha Bruno Fernandes ?
Mchezaji gani anayekaribia kiwango cha Scot ?
Hayupo serious japo kusema Man utd ina kikosi bora kuliko Arsenal atakuwa anasema ukweli.Unamaanisha au unatania?
Sikilizia wiki hii utaona!Duuuh kweli OGS must go
Kwanza nashangaa mpaka sasa kwann OGS bado ni kocha wa ManUtd
Wajerumani wamewekeza sana kwenye coaching ndiyo maana wanazalisha talents nyingi sana kwa sasa
Ila huyu mda sana hajafundisha!Hata Guus Hiddink Yuko sokoni
Kikosi bora!Hayupo serious japo kusema Man utd ina kikosi bora kuliko Arsenal atakuwa anasema ukweli.
Mm mwenyewe nina wasi wasi kuhusu Poch ila ni ajabu sana kusema yuko daraja moja na Ole ni ajabu sana.Hakuna kitu kama hicho hata hivyo Pochetino na Ole ni daraja moja tu.
Bahati mbaya sana hawa waitaliano nao ni one season wonder.Premier league wataliano ndo wanaiweza
Conte
Anceloti
Sarri
Ranieri
Mancini
Dimateo
Yes yuko sokoni lakini sioni kama anaweza kuwa na maajabu pale unitedHata Guus Hiddink Yuko sokoni