Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Ongeeni na Leeds awauzie kocha wake.
Soko la makocha ambao ni world class ni gumu sana kipindi hiki.
Ila kwa upande wa pili, ninaona kuna sababu kwanini Bielsa yupo Leeds na hajawahi kufundisha giant teams
Hii ilitukuta kwa Brendan Rodgers.
Yeah... Somehow ni risk
Binafsi Pochettino namchukulia kama ni risk zaidi, bila hata sababu.
Kwakwakwakwakwakwakwabwahahahahahahahaha 😂😂😂Istanbul Basaksehir ni kama kachokoza nyuki halafu bado kabaki eneo la tukio.
With 45 minutes to play, kuongoza 2 - 1 kwa timu yenye sub zake 3 mkononi na nje wakiwepo Pogba, Cavani ni bora waukimbie uwanja wao mapema.
But this is a lesson to Ole, mambo ya playtime tunafanyaga tukishafuzu.
Hahahaha... Eti bila hata sababu
Hivi sokoni sasa hivi ni Kocha gani anafaa kuchukua nafasi ya Ole ?Atafutwe kocha mwenye uwezo wakupambana na klopp na pep sie ubingwa tunabeba.....
United kuna shida ya coaching.Ed na bodi wana share yao ya lawama, lakini kuna mambo mengine tunawafanya kama mbuzi wa kafara tu
Ole amepewa paundi za kutosha tangu aje United ili asajili, amepewa takribani paundi milioni 200
Bodi ya klabu gani imetoa hela hiyo Uingereza tangu (2018 mwishoni) Ole aje pale United?
Hao wachezaji uliowataja wote wanakuwa regular starter pale ArsenalKocha anaweza asiwe mbovu au akawa mbovu,
90% pale man u hakuna wachezaji
Van gal, mourinho
Hawa ni makocha wenye vigawango vizuri sana, mlikipata msichokiitaji
Sasa mnataka aje zidane au guadiola ili wakichemka muwe mmepata jibu!!!
Maguire na lindelof hiz mbuzi hata zikikaa miaka 100 hazitakuja kuwa parfect. Tafuteni beki majirani zangu
Mlimuuza lukaku, mkabaki na rashford. Then mkaona bora mumchukue cavani na lile zigo la China (hivi anachezaga kweli yule??)
Pogba kutoka moyoni na wote mnajua haipendi man u,
Ferguson aliwai kumkataa akaenda juve, pesa ndio imemrudisha pale muda wowote anasubiri simu kutoka kwa zidane, safari R.Madrid
Pogba anacheza kulinga na siku atakavyoamka na aulizwi
Bruno hana tofaut na ozil, lakin ozil anakiwango kikubwa kuliko huyo Bruno.
Uchawi kuwa Ozil anaachwa ila Bruno huko ndio kikos cha kwanza panga pangua. Alafu unataka nini eti??? Niambie Bruno ana goal ngapi??? ukiacha penalties ambazo anataka hadi za timu pinzanj
Hivi cavani mnamlipa pesa au yeye ndio anawalipa pesa??
Hivi mlishindwa ata kumkamata Suarez? Dybala aje kutia nguvu pale mbele (hivi unajua Cavan ata Everton hapati namba? Atamtoa nani?)
De gea sio de gea yule, huyu nae asiwadanganye. Sasa hivi ukitaja goalkeepers watano wazuri pale EPL, huyo ngongoti wenu haumkuti
Wanbisaka hakuna kitu, na nyie mnajua hilo. Full backs sasa hiv inabid uwe na skills, high speed rate, dynamic, brain
Hiyo vyote bisaka amekosa
Greenwood ni mcehzaji ambae hana madhara wala hana hasara. Ila Nasikia mnamuita van persie.
Rashford kama bahari kupwa na kujaa, not consistency player.
SASA SOSHA AFANYE NINI HAPO??
Jaribuni kuvaa viatu vya sosha kama mtaweza alafu uwe wa kwanza kumnyooshea kidole
Yule mpaka akamilishe kujenga falsafa zake mlishakuwa relegated.Ongeeni na Leeds awauzie kocha wake.
Soko la makocha ambao ni world class ni gumu sana kipindi hiki.
Hata mimi namuona hivyo ukiniambia kocha ambaye walau anaweza kufaa kuifundisha United ni kocha wa Southampton kwa walioko EPL.Binafsi Pochettino namchukulia kama ni risk zaidi, bila hata sababu.
Ole hakuprove pia na alitoka kushusha timu daraja.Okay
In that sense Bielsa pia haja prove, wala Julian Nagelsman
Tutarudi kwa akina Jose, Allegri, Van Gaal ambao sidhani kama kuna cha maana kipya wanaweza ku offer
Arsenal ya London au ya kigogo iliyomsajili Sanchez wa Man City ya kwa Limboa kwa chips mayai?Hao wachezaji uliowataja wote wanakuwa regular starter pale Arsenal
BREAKING: Manchester United have approached Mauricio Pochettino as pressure continues to mount on Ole Gunnar Solskjaer, according to Manchester Evening News.Hivi sokoni sasa hivi ni Kocha gani anafaa kuchukua nafasi ya Ole ?
Pale Arsenal kuna mchezaji gani walau anayekaribia kiwango cha Edson Cavani ?Arsenal ya London au ya kigogo iliyomsajili Sanchez wa Man City ya kwa Limboa kwa chips mayai?
Hizi habari za Pochetino huwa zinaibuka kila siku Man united akipoteza Mechi na huenda hazina ukweli wowote zaidi ya kutaka kupata mauzo ya magazeti tu.BREAKING: Manchester United have approached Mauricio Pochettino as pressure continues to mount on Ole Gunnar Solskjaer, according to Manchester Evening News.