Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sub kama zote utafkiri tunacheza na Bayern

Timu zinafufukia kwetu .....
Hivi wakuu 1st eleven ya timu ni ipi
Wachezaji wote cream wanacheza bado matokeo hakuna??
Tuendelee kujenga timu kwa kweli...
 
Tumeipenda wenyewe (tii tiiiii)
Chaguo letu milele (tii tiiiii)
Na wavimbe wapasuke (tii tiiiii)
Watajijua wenyewe (tii tiiiii)
Acha tuisome namba eeeh!
Manchester mbele kwa mbele
Ooh! mbele kwa mbele.....

#LiwaloNaLiwe
 
Mkuu ulikuwa unamaanisha nini hapa

Unaamini una kikosi kikali sio??
Hii timu haizoeleki ndo kwanza kumekucha
 
Halafu hapo Arsenal kamfunga Man Utd anajisifu


Ole plan A yake inapofeli hajawahi kuwa na plan B yenye mafanikio

Hii game ya leo tungecheza mipira ya krosi mingi au ya juu kuangukia kwenye box ya adui tungepata magoli

By the way timu ilikuwa ina urgency gani kiasi cha kwamba tumeanza game mpaka mabeki wote wanakwenda kushambulia na tunamuacha Demba ba peke yake


Bora hata timu apewe Kaze
, Ole atupishe tu
 
Unataka kusema nini sasa?
 
Iko hivi wakuu ukiona timu yako inakomaa sana na big teams halafu timu ndogo inafungwa ujue hizo n dalili ya timu yako kupoteana kumbuka Liverpool miaka kadhas iliyopita ilikuwa hivi

Shida mashabiki wengi wa timu hii hawaukubali ukweli huu man u kwa sasa haina tofauti na Wolverhampton utofauti wao upo kwenye fanbase tu kwa sasa na historia basi

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…