Leo man u asiposhinda kayataka mwenyewe. Game ya leo hata kama kocha hana mbinu wachezaji wanaweza kufosi na kulazimisha matokeo.
So sioni cha kujadili. Game man u anashinda ni swala la ngapi na jinsi gani atasecure ushindi.
Akifungwa itakua ni mambo ya Shakhtar na Real, Alaves na Barca na Locomotiv Moscow na Atletico.
Acha tuone kama mpira utadunda.