The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,010
- 11,444
Amezungumzia kipindi cha kwanza, partey ilikuwa ni kipindi cha pili.[emoji23] [emoji23] Bado hujaamka? Lile alilopiga Thomas ni nini?
Greenwood alinizungushia Gabriel, hakuamini [emoji3]
Badilisha matokeo sasa!!
Ubaya wa UCL, mechi moja unafungashwa virago.
Uzuri wa EPL, ukifungwa moja nyingine unajipanga.
Kwahiyo sitegemei UCL tutafika popote pale. Ukifika nusu ukatolewa unakuwa sawa na alietolewa round ya makundi.
Huyu mshenzi ana majibu ya shombo sana kwa wakosoaji wake[emoji23] [emoji23] Kabisa
Hivi huyu Grant huwa anafanya kazi gani ?