Dah watu wana hasira sana humu hahaha ila naona Arsenal tumekua mteja wake miaka ya karibuni. Ni bora tungefungwa na chelsea sio arsenal asee ukichukua mchezaji mmoja mmoja Manchester United iko vizuri sana ila wanatusumbua sana miaka ya karibuni.
★Marcus Rashford has sent a touching message to Sir Bobby Charlton following the former England and Manchester United great announcing his diagnosis of dementia.
Arsenal ya Arteta hairuhusu mabao kama Arsenal ya Wenger ambae ndani ya msimu kutoka kwa Man City peke yake anaruhusu magoli sita sasa Arteta Katika games 40 anaruhusu magoli 30 na si zaidi ya moja kwa wastani kwa mechi moja tutaona mengi maana msimu huu tayari mmepigwa kwenu which means mnapigwa Nje ndani msimu huu