Phd young junior
Senior Member
- Dec 24, 2016
- 119
- 88
Kama simba ikiwa pungufu dhidi ya yanga [emoji41]Shortage ya mchezaji mmoja afu unafungwa goli tano bado ni udhaifu. Kuna timu zikiwa pungufu ndio zinakamua vizuri zaidi, nyingine husawazisha hata na kushinda. Hivyo kuliko kuamini kuwa ungeshinda ni vizuri kujiuliza ni wapi timu ilikwama kwa kiasi kikubwa hivyo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Spurs zile goli 6 refa aliwabeba sana yaaan
Kabla ya nyekundu mlishatinduliwa viwili, game iliwashinda mapěmaaaaaàNyekundu ndio ilituua.
Bila nyekundu, tulikua tunashinda game ile.
Kwahiyo kwa akili yako, timu ikifungwa mbili haiwezi rudisha, sio?Kabla ya nyekundu mlishatinduliwa viwili, game iliwashinda mapěmaaaaaà
Kwa sababu ni muingereza basi £75m inamtosha.Embu tumpe Marcus Rashford pricetag..mimi nampa £140m
Sancho na Rashford nani anaweza kuwa na price tag kubwa ?Embu tumpe Marcus Rashford pricetag..mimi nampa £140m
In My Opinion...RashfordSancho na Rashford nani anaweza kuwa na price tag kubwa ?
Hapana ninafikiri Sancho kwasababu yule ni specialist #7.Ila Rashford sio specialist left wing or #9 ila ni mfungaji mfungaji tu.In My Opinion...Rashford
Uwe unaelewa basi wewe kichwa ngumu.
Siasa kuna jukwaa lake rasmi mkuu, uku ni mpira tu