Hivi huyu Yusuph polssen sio yule mtanzania anae chezea timu ya taifa ya Sweden?Kikosi rasmi huwa huwa kinatoka lisaa limoja kabla ya mechi...Hivi vingine huwa ni utabiri au mapendekezo ya site husika.View attachment 1615146
View attachment 1615147
Ndio huyohuyo. Anachezea Denmark na sio Sweden.Hivi huyu Yusuph polssen sio yule mtanzania anae chezea timu ya taifa ya Sweden?
Mtoe Hakim Ziyech hapo, ana goal moja sasa,Ferran Torres hajaanza hata mechi moja.
Hakim Ziyech hahaanza hata mechi moja
Why kwa Donny iibue kelele?
Ferran Torres ana goal mbili UCLMtoe Hakim Ziyech hapo, ana goal moja sasa,
One match, One goal
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Mwenye link yakucheki game tafadhari...natumia pc
huo ni mfumo mkuu, tuna wa press wao, so far so good. tungekuwa tuna posses pengine sasa hivi tushapigwa za kutosha.Solskjaer timu imezidiwa kakaa tu hata kupanda awape hamasa wachezaji wake anaangalia tu kama mtazamaji
Shukrani kaka...MB ninazo zakutosha.
uwe na mb za kutosha
huo ni mfumo mkuu, tuna wa press wao, so far so good. tungekuwa tuna posses pengine sasa hivi tushapigwa za kutosha.
Ndio huyohuyo. Anachezea Denmark na sio Sweden.
Mkuu punguza mahaba na Man U, kwamba Man u ndy wana press zaidi?huo ni mfumo mkuu, tuna wa press wao, so far so good. tungekuwa tuna posses pengine sasa hivi tushapigwa za kutosha.
Vandebeek anacheza vizuri matic ndo hajatulia. Toa matic ingiza scotTulio taka Van de Beek acheze, tunaona anacho kifanya hapo kati?
Yeye na Matic wanazingua.
Kocha ingiza Rashfod & Fernandez.
Hii Man u hii game itakwisha draw mkuu. Sioni kama mtamaliza salama.huo ni mfumo mkuu, tuna wa press wao, so far so good. tungekuwa tuna posses pengine sasa hivi tushapigwa za kutosha.
Angalia tumemla mtu nne huko
Bado tuko pamoja na RBL
Kila la kheri RBL, OT ni shamba la bibi
#CFC [emoji170][emoji170]
wana shuti moja tu on target, tena shuti lenyewe hata halikuwa hatari, wana posses bila kutengeneza pasi za maana. wakati sisi hatuna possession kubwa ila tukifika golini kwao tunakuwa Hatari, isingekuwa kipa wao pengine tungekuwa zaidi ya goli 1 tunaongoza. na goli letu limetokana na Kuwa press, Fred kawin mpira kampa Pogba na kwenda kwa Greenwood.Mkuu hapa nakataa wao ndio wana tu press anagalia hatuvuki hata mstar wao tukiwa tumepiga pasi hata 5