Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,226
- 44,223
si kila mchezaji ni Ronaldo na Messi kwamba akikabwa upande mmoja anahama, hivi leo Bissaka apate mbabe wake atahamia kushoto? hata wachezaji wetu wengi wa ushambuliaji hawana uwezo wa kucheza Kushoto na Kulia, labda kushoto na Kati, Including Martial, Rashford na wengineo.Soka la kizamani sn hili unaloongelea mkuu yn mchezaji ashindwe kutamba kisa kajaziwa watu upande wake si anahama upande tu cz mchezaji km anaweza basi anaweza tu ukimbana huku anahamia kule na bado anaweza kuleta madhara, ss mchezaji anayetegemea upande mmoja tu wa nn huyo?
Everton amekojozwa tayari..
Msimu huu hii ligi ni hatari..watu hawaangalii usoni
mimi bado naamini msimu huu tunachallenge ubingwa, bingwa anaweza asifikishe point 90 msimu huu.Yaliyo mkuta Evaton huko ni siri yake mwenyewe.
EPL msimu huu hata Leeds anaweza kuchukua.
Kwani wewe ulitarajia tuwapige ngapi ?Ivyo vitu vya kipuuzi ndo vinafanywa na ili litimu lako ..wewe nakumbuka ndo ulidai Chelsea itapigwa sita, vip jana mumepiga ngap
Sure,timu zinapeana point zote bingwa atakuwa na point chachemimi bado naamini msimu huu tunachallenge ubingwa, bingwa anaweza asifikishe point 90 msimu huu.
VdB
Nilisema ! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hope arsenal atapoteza point kwa watoto wa king power !!!! Ligi ngum sana
Mechi sita tu lakini Amna timu ambayo haijapoteza point !!!!
#GGM
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Arsenal kalala huko
FT: Arsenal 0-1 Leicester City
Naungana na maono yako Chief.mimi bado naamini msimu huu tunachallenge ubingwa, bingwa anaweza asifikishe point 90 msimu huu.
Kila timu ilitarajia kushinda, ila nyie mlikuwa na matokeo yenu mfukoni.Kwani wewe ulitarajia tuwapige ngapi ?
Maana inaonekana una furaha sana kutoka sare
Kila timu ilitarajia kushinda, ila nyie mlikuwa na matokeo yenu mfukoni.Kwani wewe ulitarajia tuwapige ngapi ?
Maana inaonekana una furaha sana kutoka sare
Yakwenu mliyaweka matakoni ?Kila timu ilitarajia kushinda, ila nyie mlikuwa na matokeo yenu mfukoni.