Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,225
- 44,214
Ni kweli ila aliingia sub hii mechi, na James kucheza Kulia na akicheza Kushoto ni tofauti kabisa kimajukumu. Kushoto ndio upande wetu ambao magoli yanatoka wakati kulia kuna Bissaka ambaye hata akikaa na james wanakaba kaba tu kule hakuna expectation kubwa.mkuu kwa mechi ya jana kama martial angelikuwepo basi naamini daniel james angelipelekwa upande wa kulia.
daniel james mechi za chelsea anacheza mara kwa mara na ndio game plan ya ole
FA CUP = chelsea 3 man utd 1
View attachment 1611362
===========Man Utd 1-3 Chelsea: David de Gea has semi-final to forget as Blues book FA Cup final date with Arsenal
Increasingly error-prone David de Gea was at fault twice as Chelsea ended Manchester United's long unbeaten run with a 3-1 win at Wembley to book their place in the FA Cup final against Arsenal.www.skysports.com
premier league
chelsea 0 man utd 2
View attachment 1611366
premier league
man utd 4 chelsea 0
aliingia kipindi cha pili
Wacha kupotosha watu ww nani kakuambia kiungo mshambuliaji anacheza namba moja tu? Unaposema vdb co winga unamaanisha nini? Unataka winga mpk awe anamwaga mitungi c ndiyo? Kwa taarifa yako vdb anaweza kucheza wing ya kushoto hata kulia pia anaweza kucheza namba kumi hilo kwa anayejua mpira yyte yule lazima ajue hilo wacha mambo yako.Vdb sio winga, tunarudi pale pale, james amecheza sababu Martial yupo suspended, Woodward angemleta Sancho wala usingemuona James pale.
Mechi ya jana Alivyoingia pogba na Cavani tulikuwa tumetawala mpira ila hatukuwa na threat yoyote kwenye goli, sababu Fernandez alipelekwa winga ya Kulia, Fernandez sio winga, Vdb pia sio winga, haitusaidii chochote hawa jamaa wakikaa pembeni,
Ila Alivyotoka Mc tominay na Kuingia Greenwood, Fernandez akarudi kati ghafla tukaanza tena kuwa Threat kwenye Goli lao, dk za mwisho tumewakosa Nafasi za kutosha tu.
Na wale Haters wa Martial nawakumbusha tu, Record zetu mbovu bila Martial zinaendelea.
Jana alikuwa katulia tu golini..Sema pia Mendy kawaokoa sana jana Chelsea..anaonekana atakuja kuwa kipa mzuridavid de gea ameamka tena, pole kwake dean henderson
Mendy ni copy ya Onana wa Ajax.Jana alikuwa katulia tu golini..Sema pia Mendy kawaokoa sana jana Chelsea..anaonekana atakuja kuwa kipa mzuri
Hivi mkuu unafkiri mechi ya jana Tungeua winga ya Kushoto tungetoka? Nimeeka picha hapo juu position wise timu zilivyocheza, lampard alijaza watu wake kulia kwao ili kupambana na kushoto kwetu, kama umeangalia mechi utaona James wa chelsea alivyokuwa threat, Havertz muda wote alikuwa akikaa upande ule Ku mpressure shaw. Azpilicueta alikuwa ana Act kama beki wa Kulia etc.Sio lazima acheze kama winger per se..mimi mechi zote alizocheza VdB kama Sub amekuwa akikaa upande wa kushoto..
Na kama James anacheza kisa Martial ni mgonjwa na hakuna option nyingine basi huyu kocha wetu ana tatizo..ni bora angeanza Fred,McTominay,Pogba,Fernandes na Cavani +Rashford up top..
Na nikuulize VdB ili atleast acheze unadhani inabidi atafutiwe nafasi sehemu gani?
Nakumbuka pia comment yako kuwa utd haimuhitaji sancho wala winga wa kulia, bali striker. Mkuu unaishi kwenye dunia yako ya Kipekee kama unafiri VDB ni winga, hasa hasa pale Epl.Wacha kupotosha watu ww nani kakuambia kiungo mshambuliaji anacheza namba moja tu? Unaposema vdb co winga unamaanisha nini? Unataka winga mpk awe anamwaga mitungi c ndiyo? Kwa taarifa yako vdb anaweza kucheza wing ya kushoto hata kulia pia anaweza kucheza namba kumi hilo kwa anayejua mpira yyte yule lazima ajue hilo wacha mambo yako.
Kuhusu Martial km unampenda we mpende hakuna shida mana wengi tulikuwa tunampenda hvyo hvyo lkn mwishowe tukaona anazingua cz mpira unachezwa uwanjani kweupee wala co chumbani.
Thus why watu huwa wanasema kocha wetu ni "substandard"..week moja anafanya right things next week anatoa boko la maana..
Nafasi ya James angecheza VdB angeongeza quality passes kule mbele maana Fernandes alikuwa off kimtindo na pia angeongeza idadi ya watu kwenye box..Tumemsajili wa nini VdB?
Fred na Scott wote hawa ni poor Offensively,defensively wako vizuri,sasa inabidi uwe na wachezaji wanaotengeneza nafasi na kuzitumia vizuri ili uweze kushinda mechi kama hizi..
Game ya PSG Pogba alivyoingia aliongeza quality kule mbele na possession ikaongezeka na tukapata bao,kitu ambacho hakikuwepo kabla ya Pogba kuingia
Inabidi tuchukue point asee,maana wakubwa wengine wanapoteana,Ole inabidi ajitahidi ili baadae tuwe nafasi nzuri
Nimesema vdb anaweza kuwa winga hilo halihitaji degree ya ukocha kujua mkuu soccer imebadilika sana, kikosi chetu pia hakimuhitaji Sancho ili kuwa untouchable this season tunahitaji kocha tu wa kupanga kikosi vzr tukashinda mechi nyng, ss we hebu angalia mechi ya juzi unaweka vdb benchi unaanzisha James kweli?Nakumbuka pia comment yako kuwa utd haimuhitaji sancho wala winga wa kulia, bali striker. Mkuu unaishi kwenye dunia yako ya Kipekee kama unafiri VDB ni winga, hasa hasa pale Epl.
Sifa za VDB
-anajua kutoa pasi za mwisho
-anatoa pasi fupi fupi
-hakai na mpira
-magoli yake anafunga akiwa ndani ya box etc
Yupo weak kwenye pace na defensive contribution, VDB ni mata mrefu aliechangamka changamka,
Eka VDB kushoto na Mata kulia watoto watapita tu kwenye mbavu kila siku tutafungwa na mtakuja humu kumtukana Ole.
Na martial Ameprove time to time yeye ndio link ya Attack ya United, asipokuwepo timu inafanya Vibaya, msimu uliopita mwanzo alimiss mechi 6 tukawa tunahangaika tu kule mbele, alivyorudi na mambo yakawa mazuri.
Amecheza mechi zote kwenye winning streak yetu toka february mpaka kuisha msimu.
Nilisema VdB atleast kama Mason bado hajawa fit maana tuliambiwa na Ole alikuwa na injury..Lakini kama alikuwa fit ilibidi aanzeMkuu naunga mkono hoja kuwa James hakupaswa kuanza, lakini kwa mtazamo wangu mtu sahihi wa kuanza alikuwa ni Mason
Nilichokiona Ole ameingia kwenye mechi kiuoga zaidi kwa kumuweka James badala ya more capable offensive player
Fred na Scott walitosha kubalance ulinzi, badala ya kumuongeza James ambaye ni mzuri kwenye ku track back opponent lakini going Foward hana msaada mkubwa
VDB pia ni option nzuri japo mimi nilipenda zaidi aanze Greenwood kwenye Right Attacking Flank
mkuu sijui hata niongee vipi tena lol, tuanze taratibu.Nimesema vdb anaweza kuwa winga hilo halihitaji degree ya ukocha kujua mkuu soccer imebadilika sana, kikosi chetu pia hakimuhitaji Sancho ili kuwa untouchable this season tunahitaji kocha tu wa kupanga kikosi vzr tukashinda mechi nyng, ss we hebu angalia mechi ya juzi unaweka vdb benchi unaanzisha James kweli?
Ok sawa umechambua vzr, ss niambie ktk hayo uliyoyaongea James aliplay role gn hapo?mkuu sijui hata niongee vipi tena lol, tuanze taratibu.
jana Mata ndio winga wetu wa kulia, ila mata hajui kukokota mpira akachukua mtu na kuingia ndani, yeye ni mtu wa pasi zaidi anatafuta upenyo na kupenyeza pasi. angalia upande wetu wa kulia ulivyokuwa, hii ni pass map ya jana
View attachment 1611441
hali hio inasababisha Bissaka kuwa isolated maana anapanda mwenyewe, na pia inamfanya awe vulnerable, kinachomsaidia ni kwamba tu yupo vizuri kwenye ukabaji ila angekuwa full back mwengine hapo ni majanga.
hapo nilipozungushia Blue ni pengo la sancho hilo, hakujapigwa pasi wala watu hawaendi, huko garasa zouma lilikuwa linacheza tulimfanya jana akaonekana kama Vidic, anakuja mpaka golini kwetu kushambulia bila wasiwasi, tungekuwa na winga wa kulia mzuri angetoa pressure nzuri kwake, na kwa Chilwell.
tu assume kama mnavyotaka nyie Angeanza VDB badala ya james, tuangalie upande wa Kulia wa Chelsea
hapo kuna
-kai havertz
-reece James
-Azpilicueta
kati ya hao wawili wakabaji James na Azpi wana mbio balaa, james ana mbio kushambulia na kukaba vile vile unapokuwa na winga asiejua kudrible na hana speed ina maana
1. hataweza kumsaidia luke shaw kutrack back mtu mwenye speed
2. hao mabeki hawatapata shida kumkaba sababu hata wakimuacha hatua kadhaa nyuma wapo confident wataweza kumfikia.
James jana alicheza Winga wa kushoto, Japo hakufanya vizuri kwenye ushambuliaji ila bado ana track back, na moja ya sababu ya James kutofanya vizuri ni kwamba amejaziwa watu upande ule, na chelsea wanapojaza watu kule na wao pia wanapunguza idadi ya watu wanaoshambulia mahala pengine (kulia kwetu).Ok sawa umechambua vzr, ss niambie ktk hayo uliyoyaongea James aliplay role gn hapo?
Nilisema VdB atleast kama Mason bado hajawa fit maana tuliambiwa na Ole alikuwa na injury..Lakini kama alikuwa fit ilibidi aanze
Ni kweli mkuu,A.Martial ni muhimu sana kwenye kikosi sema basi tu.Vdb sio winga, tunarudi pale pale, james amecheza sababu Martial yupo suspended, Woodward angemleta Sancho wala usingemuona James pale.
Mechi ya jana Alivyoingia pogba na Cavani tulikuwa tumetawala mpira ila hatukuwa na threat yoyote kwenye goli, sababu Fernandez alipelekwa winga ya Kulia, Fernandez sio winga, Vdb pia sio winga, haitusaidii chochote hawa jamaa wakikaa pembeni,
Ila Alivyotoka Mc tominay na Kuingia Greenwood, Fernandez akarudi kati ghafla tukaanza tena kuwa Threat kwenye Goli lao, dk za mwisho tumewakosa Nafasi za kutosha tu.
Na wale Haters wa Martial nawakumbusha tu, Record zetu mbovu bila Martial zinaendelea.
Soka la kizamani sn hili unaloongelea mkuu yn mchezaji ashindwe kutamba kisa kajaziwa watu upande wake si anahama upande tu cz mchezaji km anaweza basi anaweza tu ukimbana huku anahamia kule na bado anaweza kuleta madhara, ss mchezaji anayetegemea upande mmoja tu wa nn huyo?James jana alicheza Winga wa kushoto, Japo hakufanya vizuri kwenye ushambuliaji ila bado ana track back, na moja ya sababu ya James kutofanya vizuri ni kwamba amejaziwa watu upande ule, na chelsea wanapojaza watu kule na wao pia wanapunguza idadi ya watu wanaoshambulia mahala pengine (kulia kwetu).
Ivyo vitu vya kipuuzi ndo vinafanywa na ili litimu lako ..wewe nakumbuka ndo ulidai Chelsea itapigwa sita, vip jana mumepiga ngapCheza mpira ushinde acha kulilia vitu vya kipuuzi..kwahiyo kupata draw na sisi umefurahi sana sio?
Hamna kitu mipira yote iliishia kwa akina Silva na Zouma. Japo dakika 10 za mwisho mlimiliki kwa kiasi chakeVdb sio winga, tunarudi pale pale, james amecheza sababu Martial yupo suspended, Woodward angemleta Sancho wala usingemuona James pale.
Mechi ya jana Alivyoingia pogba na Cavani tulikuwa tumetawala mpira ila hatukuwa na threat yoyote kwenye goli, sababu Fernandez alipelekwa winga ya Kulia, Fernandez sio winga, Vdb pia sio winga, haitusaidii chochote hawa jamaa wakikaa pembeni,
Ila Alivyotoka Mc tominay na Kuingia Greenwood, Fernandez akarudi kati ghafla tukaanza tena kuwa Threat kwenye Goli lao, dk za mwisho tumewakosa Nafasi za kutosha tu.
Na wale Haters wa Martial nawakumbusha tu, Record zetu mbovu bila Martial zinaendelea.
nyie mlitawala dk 30 za mwanzo tu, mwisho wa kipindi cha kwanza mpaka mechi inaisha tulitawala. ndio maana kuanzia Ball posession, Attempts na karibia mambo yote tuliwazidi.Hamna kitu mipira yote iliishia kwa akina Silva na Zouma. Japo dakika 10 za mwisho mlimiliki kwa kiasi chake