Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pengine OGS ameenza kuelewa sanaa ya kupaki basi, msimu ujao atakuwa amefuzu kupanga kiungo na msimu wa kesho kutwa atakuwa kajua kupanga goal getter kama bado tutakuwa Premier league.

Kiungo wa kupokea kutoka kwenye ulinzi na kulisha attackers hakuna.

Carrick, Scholes, Fletcher, Hargreaves, Keane, Anderson, Herrera

Giggs, CR7, Nani, Beckham, Chadwick, Bellion

Rooney, Van Persie, Tevez, Owen, Larson, Hernadez, Forlan

Watu wa mtindo huo hawapo tena siku hizi? Beki ilikuwa sawa haswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…