Kila mtu anashangaa kama unavyoshangaa wewe mkuu, baadae pengine tutapata jibu, kama anawasubiria leipzig ama ni injury, ila bench hatuna wa ku cover kushoto.
Yaani huyu kocha dah. Sometimes dah. Chelsea unaanza. Kati ya James na Mata mmoja hakupaswa kuanza. Nafasi ya James angecheza Telles sababu mid jamaa wana 5 men. Dimba Fred na Tominay watazidiwa
James alipaswa kuwa aggressive sana kulinda namba sasa amekuwa legelege mno. Atakaa bench siku zote. Cavan yupo nje na Martial anamaliza adhabu yake, pia ni kheri ya Igalo au Greenwood.