Niliona kwenye media reports kwamba hata Chevrolet walikuja gundua baadae kuwa walilipa hela nyingi mno za bango kwenye jezi zenu
Skysport si katika media za kuaminika 100% hawa sio wabaya kama Goal na Dailymail ila pia hawajafikia level za Bbc na telegraph.
Mara kibao nishaona washkaji wanatengeneza tweets fake na wao skysport wanafall na kuzitangaza bila kufanyia utafiti na baadae wanakuja kuumbuka, mifano ipo mingi sana ukitaka nitakutafutia.
Ushahidi ndio hiyo extension ya miezi badala ya miaka★Naomba unisaidie huo ushahidi★
Bila kusahau ana miaka 22 tu.★Marcus Rashford has scored 23 goals and recorded 5 assists in big games during his career.
Chelsea (5 goals, 3 assists)
Leicester (4 goals)
Man City (4 goals)
Tottenham (3 goals)
Liverpool (3 goals)
Arsenal (2 goals, 2 assists)
PSG (2 goals)★
#GGMU
manutd | View attachment 1609772
Sijaiona hio habari mkuu.★Sawa kulingana na hii mambo ya dogo Mason unawapa asilimia ngapi za Kuwaamini???★
Unaweza kuwa sahihi lakini vigezo ulivyoweka havitoshi ku justify point yako.Bayern ni kubwa sana kuliko Man Utd labda ukubwa UK naosemea wa Man Utd kwenye Mauzo ya jezi tu
Bayern ana UCL 6 vs Man Utd UCL 3
Juzi Atletico Madrid na ubabe wake kwenye kudefend kafungwa 4 bila sasa sijui Ole Gunnar Sokjaer atakuwa anapigwa ngapi na Hans Flick
Tuanzebe anatosha huyu magwaya atupishe★Solskjær: "I hope and expect all three of them [Cavani, Greenwood, Maguire] to be available for selection. Of course we’ve got a training session this morning which is the last chance of preparation, but they’ve all got a chance, all of them."★
manutd |
Bila kusahau ana miaka 22 tu.
Tuanzebe anatosha huyu magwaya atupishe
Sijaiona hio habari mkuu.
mjadala uishie hapa, under dog kamfunga psg paris de princes 2-1 na kuondoka na point 3 over.Tafsiri y underdog ni timu yenye nafac finyu kushinda mchezo husika....hata united alipoenda kucheza n psg jnne aliingia km underdog hii ni kutokana n form yake recently...we utakuwa umetafsiri maana ya underdog kuwa n timu ndogo!
mjadala uishie hapa, under dog kamfunga psg paris de princes 2-1 na kuondoka na point 3 o
Kwani underdog hana uwezo wa kushinda? Simba alikuwa underdog lkn akamfunga al ahly taifa.!mjadala uishie hapa, under dog kamfunga psg paris de princes 2-1 na kuondoka na point 3 over.
Bro acha dharau basi tangu lini Chelsea ikawa team kubwa sioni tofauti kati ya Chelsea na Aston Villa bado kuitwa team kubwa epl★Marcus Rashford has scored 23 goals and recorded 5 assists in big games during his career.
Chelsea (5 goals, 3 assists)
Leicester (4 goals)
Man City (4 goals)
Tottenham (3 goals)
Liverpool (3 goals)
Arsenal (2 goals, 2 assists)
PSG (2 goals)★
#GGMU
manutd | View attachment 1609772