The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Lazy boy.Kwa matokeo haya namuona Solskjaer akiendelea kuwa kocha wa utd milele..Huwa naumia sana nikiona watu wanamsema De Gea vibaya leo atleast ametuonyesha kwamba tunaweza kumtegemea..Bissaka leo amefanya kazi nzuri sana hawa wawili wananifanya nilale vzr ucku wa leo ila Martial duh!Ngoja nilale tu..
Hii Mechi Manchester United hashindi
Cavani yupo atamnyoosha asidhani Cavani ni IghaloLazy boy.
Lakini ndiyo hiyo trio iliyotufanya tudominate mechi nyingi past lockdown.Matic+Pogba+Fernandes isipewe kipaumbele..tunakuwa so inbalanced
Hahaha hii timu bila penati itafika kweli?
Wazee sema mpira bila unafki hauendi..wale wasio/tusio mpenda Socha tumpe hongera leo basi hata kinafki..he got his tactics correct..Au ni juhudi za wachezaji?
Ole hana Credit kwenye hii mechi, wenye Credit ni wachezaji wenyewe na hasa Telles, Tuanzebe, bissaka, Fred na TomyWazee sema mpira bila unafki hauendi..wale wasio/tusio mpenda Socha tumpe hongera leo basi hata kinafki..he got his tactics correct..Au ni juhudi za wachezaji?
Ni kweli mkuu lakini anacheza sana deep mkuu..sifurahii yeye akicheza hiyo nafasi
Hiki kiungo kitatamba kwa timu laini laini tu at the middle..trust me..Fred+Scot ni real deal..Lakini ndiyo hiyo trio iliyotufanya tudominate mechi nyingi past lockdown.
Au tumeshasahau tayari ?
Ndo usenge tuliokataa huu, tumempata Telles ni bora kuliko huyo laini laini.
Umemsahau TuanzebeKwa matokeo haya namuona Solskjaer akiendelea kuwa kocha wa utd milele..Huwa naumia sana nikiona watu wanamsema De Gea vibaya leo atleast ametuonyesha kwamba tunaweza kumtegemea..Bissaka leo amefanya kazi nzuri sana hawa wawili wananifanya nilale vzr ucku wa leo ila Martial duh!Ngoja nilale tu..
Hapana mkuu tusikose heshima kiasi hicho, mm mwenyewe Ole cmtaki ila amechanga vzr karata zake so kwa leo tumuheshimu.Ole hana Credit kwenye hii mechi, wenye Credit ni wachezaji wenyewe na hasa Telles, Tuanzebe, Fred na Tomy
Madrid walitaka kuifanya United ni timu ndogo.Ndo usenge tuliokataa huu, tumempata Telles ni bora kuliko huyo laini laini.
Ole nampa time naamini bado ana kazi kubwa ya kufanya..we are not there aisee,badobadoMkuu wewe humpendi
Na hili ndio tatizo ninaloliaona kwa mashabiki wengi
Mfano kipindi kile cha Jose watu walikuwa wanaombea Man Utd wapigwe ili ku prove point kwamba Jose hafai
Inawezekana leo kuna mashabiki wa United wamejisikia unyonge/vibaya Man Utd kushinda kwa kuwa tu timu chini ya Ole imeshinda
Haitakiwi kumpenda kocha/mchezaji kuliko unavyoipenda timu yako na kushabikia timu ishinde au ifungwe just to prove your point
Bissaka leo katembea vzr sn na Mbappe.Umemsahau Tuanzebe
He was exceptional.. Nadhani he could top the list
Kwahiyo past lockdown tulikutana na timu laini laini pekee ?Hiki kiungo kitatamba kwa timu laini laini tu at the middle..trust me..Fred+Scot ni real deal..
Mourinho wako kaongoza goli tatu dakika ya 83 zikaanza kurudi zote..Ole hana Credit kwenye hii mechi, wenye Credit ni wachezaji wenyewe na hasa Telles, Tuanzebe, Fred na Tomy