Halafu pia kuna ile beki kukamia mchezaji mmoja..hii pia inakuwa advantage kwa wachezaji wengine kutengeneza channel zaohuwezi kuelewa mkuu na hutaki ujue, huu mfumo ndio umemuua city mechi 3 msimu uliopita, kafa pale pale Etihad mara 2, chelsea kama mara zote, spurs na wengineo. na mara zote striker wawili wanakuwa na mbio, asipokuwepo mmoja wa Martial na Rashford basi anapangwa James.
mkuu Kimpembe waulize Barcelona, hakuna Asiemjua anavyo dominate, Florenzi, Danilo na yule mtoto Abou wote walikuwa nyuma muda wote sababu ya hawa watu wawili, beki pekee aliyekuwa anapanda ni kurzawa, kama unafikiri hii ni miujiza walikuwa wakibaki wenyewe nyuma sawa.
Wanapocheza vile haimaanishi wote wanacheza role moja.Ile double pivot yake na Matic ni defensive kabisa..too deep
sana, jamaa anajua kupiga cross balaa, katengeneza chance 3 za uhakika leo, siku nyengine zingekuwa assist.Telles amepiga kazi kimya kimya[emoji1320]
Central midfielder hakai nyuma ya strikers, anayekaa nyuma ya ushambuliaji ni CAMCentral midfielder nyuma ya washambuliaji au mbele ya central defenders?
Wakuu tuappreciate effort za TUANZEBE sipati picha angekua Maguire mbape angekua anapepea.
TUANZEBE in.
Nimefurahi sana.
Ila Rashford kuna counter kanikera asee.
Ni kweli mkuu lakini anacheza sana deep mkuu..sifurahii yeye akicheza hiyo nafasiWanapocheza vile haimaanishi wote wanacheza role moja.
Yeye anaendelea kuwa central midfielder with two roles defending na kuanzisha mashambulizi.
Jambo gani?
Yani leo mkishinda najipiga ban mwezi mzima siingii jf.
Anafanya hivyo kwa sababu anayepewa free role ni Bruno.Ni kweli mkuu lakini anacheza sana deep mkuu..sifurahii yeye akicheza hiyo nafasi
Central midfielder hakai nyuma ya strikers, anayekaa nyuma ya ushambuliaji ni CAM
Wapo.. wanachungulia kwa aibuWaliosema tusubiri PSG wamesepa
MBE ndo nani mkuu.MBE kanikera sana ilikua tuwape hata 4 hawa PSG sema point 3 safii.
Yule ndiyo captain wng pale Utd.Anafanya hivyo kwa sababu anayepewa free role ni Bruno.
Angalia Bruno heat map yake inakuwa uwanja mzima kwenye final third ya uwanja
Matic+Pogba+Fernandes isipewe kipaumbele..tunakuwa so inbalancedAnafanya hivyo kwa sababu anayepewa free role ni Bruno.
Angalia Bruno heat map yake inakuwa uwanja mzima kwenye final third ya uwanja