Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,225
- 44,214
Bruno kapiga penalty sababu ya Martial, tayari amefanya kazi yake. na Ndio Martial ni striker mzuri kwenye counter Attack, sio mzuri kwenye cross.Inawezekana boss ila umtegemee Martial kwa counter? Telles na Bruno wamepiga krosi ngapi ngapi ndani pale na zinapita bila wenyewe?
PSG wakiunganisha timu pale kati, DiMaria na Mbappe au Neymar wanaiua UTD.
Natumia mobdro chanel ya BT SPORT2Mwenye link tafadhali tunaomba atusaidie wengine tu stream online.
Ggmu
Tayari Martial kafanya kazi yakeBruno kapiga penalty sababu ya Martial, tayari amefanya kazi yake. na Ndio Martial ni striker mzuri kwenye counter Attack, sio mzuri kwenye cross.
Haya Ruta.Ni pointi tatu tu leo hakuna cha Neymar au cha Mbappe View attachment 1606741
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Kuwaga siriazi siku mojamoja basi
[emoji23][emoji23][emoji23] mshenzi kwel niliifata point yakeTayari Martial kafanya kazi yake
Hivi Mkuu ARV upo?HAYA JITU LAKO LIMEJIFUNGA HILO..pambaf sana
Tutaona★Aliskika Yahudi mmoja [emoji23] †
Vipi tuendelee kuona?Tutaona
Imeisha hiyoHii psg inacheza kifala halafu man u wanashindwa kumaliza
Waki press hard teh tehKiuno kimevunjika kwa PSG, wanategemea mbio za Mbappe na Neymar, defensive imepwaya pia.
Utd wataponwza na kutegemea offside trick, DiMaria na Mbappe si watu wazuri.
Waki-press hard, goli zipo za kutosha ila mechi inaonesha kuwa na magoli mengi pia kwa timu zote.