Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mkuu mfumo hauna winga huu, hivyo mata hawezi cheza pembeni hapo, kwa Fred, mctominay na Fernandez nani unampiga bench aanze mata?
Piga chini Martial, badili mfumo, Bruno au Rashford yeyote anaweza simama mbele, Rashford anaweza tokea pembeni kuingia ndani.

Martial = Memphis Depay
 
Kiuno kimevunjika kwa PSG, wanategemea mbio za Mbappe na Neymar, defensive imepwaya pia.

Utd wataponwza na kutegemea offside trick, DiMaria na Mbappe si watu wazuri.

Waki-press hard, goli zipo za kutosha ila mechi inaonesha kuwa na magoli mengi pia kwa timu zote.
 
Piga chini Martial, badili mfumo, Bruno au Rashford yeyote anaweza simama mbele, Rashford anaweza tokea pembeni kuingia ndani.

Martial = Memphis Depay
unafkiri kwanini kimpembe na mwenzake hawapandi pandi ovyo? mpira jamani muuone vile vile, usifikiri unapachika tu watu, huu mfumo so far umekuwa sumu kwa timu kubwa nyingi, wengi wanaufahamu vizuri. di maria ni kama yupo isolated, beki anaetakiwa kumsaidia mbele anakuja jkwa kuvizia sababu ya Telles, mabeki wa kati hawaji mbele sababu ya threat ya counter toka kwa Martial/rashford, yule Namba 6 wao perreira na yeye Amekuwa kama Beki. so far Tactic zipo vyema tusubiri kipindi cha pili.
 
First half imeisha hata hujui anafanya nini pale..na hayo magloves avue uwanja mzima hakuna mchezaji kavaa gloves..pambaf.
Piga chini Martial, badili mfumo, Bruno au Rashford yeyote anaweza simama mbele, Rashford anaweza tokea pembeni kuingia ndani.

Martial = Memphis Depay
 
Inawezekana boss ila umtegemee Martial kwa counter? Telles na Bruno wamepiga krosi ngapi ngapi ndani pale na zinapita bila wenyewe?

PSG wakiunganisha timu pale kati, DiMaria na Mbappe au Neymar wanaiua UTD.
 
Umeiona hiyo move ya Martial na Rashford? Unaogopaje hao? Watu serious kabisa, utd wanahesabu la pili pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…