Katika hali ya kawaida alikotutoa ni mbali kwa kikosi kilichokuwa hali mbaya sana.Mkuu PTER hii battle ya kumtetea OGS umejitoa kweli kweli,ONE v ALL.
kwani kwa sasa ameonyesha dalili ya kubadilisha hiyo laissez faire attitude yake kama kweli ndio factor pekee inayotuangusha?Katika hali ya kawaida alikotutoa ni mbali kwa kikosi kilichokuwa hali mbaya sana.
Last season niliamini Ole asingefika December kwa matokeo mabovu lakini alitoboa.
Kilichonipa matumaini ni namna alivyofanikiwa kuzifunga timu kubwa kubwa karibu zote isipokuwa Liverpool kwa kikosi dhaifu kama kile.
Tactically sioni kama Ole ana mapungufu but ana Laissez faire attitude ambayo imeathiri fighting spirit ya timu.
Bado haijaondoka.kwani kwa sasa ameonyesha dalili ya kubadilisha hiyo laissez faire attitude yake kama kweli ndio factor pekee inayotuangusha?
Anti Ole wengi wanataka aondoke kwa sababu hana tactics kitu ambacho mimi nakataa.kwani kwa sasa ameonyesha dalili ya kubadilisha hiyo laissez faire attitude yake kama kweli ndio factor pekee inayotuangusha?
Anti Ole wengi wanataka aondoke kwa sababu hana tactics kitu ambacho mimi nakataa.
Marco Verrati ni kiungo fundi sana lakini mara nyingi mechi muhimu kwa PSG huwa zinamkuta akiwa majeruhi.Dalili za mvua!View attachment 1605165
PSG 1-3 Manutd historia kujirudia
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Kwanini hawatakuwepo ?Man United bila Cavani,Maguire,Bailly na Lingard