Spurs ya Poch ilishasnza kuporomoka. Tukubali, kiufundi Mou ni among world best. Ataweza ku-deliver sababu Spurs hakuna Pressure. United pressire ni kubwa kuanzia Wachezaji hadi kwa mwalimu.
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Kwanza ole namchukulia ni kocha mwenye uwezo Mdogo na asiye na maono. Kuna mtu humu alisema kuliko kumtoa diogo dalot kwa kuwa hatuna winga Wa kulia na Dogo alionyesha angalau kuwa na uwezo Wa kupiga krosi basi angemjaribu huko saba kama aliona fullback haimfai. Binafsi nakubaliana na hili wazo na ninaamini inge click!
Kama picha la kutisha hivi[emoji102][emoji102][emoji102][emoji837][emoji837][emoji837]View attachment 1604171
Kama picha la kutisha hivi
Mnyamaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji102][emoji102][emoji102][emoji837][emoji837][emoji837]View attachment 1604171
Mnyamaaa [emoji3][emoji3][emoji3]
Umeonaee.Kwanza ole namchukulia ni kocha mwenye uwezo Mdogo na asiye na maono. Kuna mtu humu alisema kuliko kumtoa diogo dalot kwa kuwa hatuna winga Wa kulia na Dogo alionyesha angalau kuwa na uwezo Wa kupiga krosi basi angemjaribu huko saba kama aliona fullback haimfai. Binafsi nakubaliana na hili wazo na ninaamini inge click!
Hili timu lina hadhina kubwa ya wachezaji aisee [emoji3][emoji3]
"Wengine tunasikilizia tu Cavani awe the new Odion Ighalo tuanze kukuwashia moto,maana ulisema Martial hawezi kumueka Cavani benchi"Mnyamaaa [emoji3][emoji3][emoji3]
Hehehehehe watasubiri sana Cavani ni the beast labda apigwe misumari na Martial [emoji3][emoji3]"Wengine tunasikilizia tu Cavani awe the new Odion Ighalo tuanze kukuwashia moto,maana ulisema Martial hawezi kumueka Cavani benchi"
Alisikika Martial Fc mmoja akifoka
[emoji3][emoji3]I'm just kidding
Mourinho leo kakipata cha mtema kumi...3-3 baada ya kuwa mbele kwa goli tatu
Nadhani msimu huu tutapata matokeo ya kushangaza kote ulaya..
Sijui ni ratiba iliyovurugwa na corona,mashabiki kutokuwepo uwanjani au giants wamebaki majina tu?..IDK kwa kweli,ila kuna namna klabu zimeathirika
Mashabiki walikuwa wanachangia kiasi kikubwa matokeo ya hizi team kubwa maana sahiv team on paper inaonekana iko home ila ile atmosphere ya kuwepo home haipoMourinho leo kakipata cha mtema kumi...3-3 baada ya kuwa mbele kwa goli tatu
Nadhani msimu huu tutapata matokeo ya kushangaza kote ulaya..
Sijui ni ratiba iliyovurugwa na corona,mashabiki kutokuwepo uwanjani au giants wamebaki majina tu?..IDK kwa kweli,ila kuna namna klabu zimeathirika
unamuamini ED atamuuza pogba na kuleta winga wa kulia?Ili kusiwe na mkanganyiko huu Pogba auzwe hela nzuri halafu watumie hyo hela kuwekeza kwa mchezaji kama haaland na winga Wa kulia Mana viungo Wa kufanya kazi ya pogba tayari tunao tena wawili