Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pogba hakubadili game ya jana, at least kwa nilivyoona. Watu waliopiga mwingi sana jana no Mata na alipoingia VDB mchezo ulikua more direct. VDB hakai na mpira, akipokea anatoa na hata goli la Bruno ali play part kubwa tuu.

Jana timu ilicheza kwa morali, sema magoli yalikuja late. Kiungo cha Scott na Fred kina work rate kubwa sana, akianza Pogba kwenye hiyo pivot kunapotea sana mpira sababu Pogba anao anao sana. Pogba anakua mzuri akicheza juu, anapocheza Bruno.

Maguire jana kajitahidi sana, lakini watu tutasubiri aharibu ndio tuongee.

Sent from my VS835 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo nafuu ya Chelsea kwa Man Utd ni ipi? Mmecheza mechi 5 mna points 8, Utd kacheza mechi 4 ana points 6. If you know the math and probability, then huwezi kusema Chelsea anaizidi Utd.

Hii ni bila kuangalia ya last season.

Sent from my VS835 using JamiiForums mobile app
 
Hapo ndipo huwa Ole ananishangaza sn, kwnn Pobga asicheze juu? Au hata pembeni awe kiungo wa kuingia ndani? Analazimisha kumchezesha chini kisa huwa anacheza hvyo France, France co Utd bhn.
 
Hapo ndipo huwa Ole ananishangaza sn, kwnn Pobga asicheze juu? Au hata pembeni awe kiungo wa kuingia ndani? Analazimisha kumchezesha chini kisa huwa anacheza hvyo France, France co Utd bhn.
unaelewa kwamba pogba akicheza juu anaempisha ni Fernandez? siku ole akimchezesha pogba juu na fernandez akatolewa pale si ndio mtazidi kumsimanga mzee wa watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…