Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Uchambuzi wako umetulia. nikiongezea kidogo tu kwamba, Ni wakati sasa wa Kagawa na Anderson kuonyesha ubora wao hivyo itakua ni jambo jema Moyes akiwapa nafasi.
 
Last edited by a moderator:
Uchambuzi wako umetulia. nikiongezea kidogo tu kwamba, Ni wakati sasa wa Kagawa na Anderson kuonyesha ubora wao hivyo itakua ni jambo jema Moyes akiwapa nafasi.

Kabisa. Jamaa inabidi wapewe nafasi. Kagawa ni bonge la playmaker; atasaidia sana timu.
 
Nyie mashabiki wa Arsenane mnakuja kwa mbwembwe badae mnamwachia Wacha na Balantanda jukwaani tunakuomba uwe unatembelea haya majukwaa hadi msimu unapoisha sio mkifungwa mnakimbia

......samahani naomba kuuliza,
Eti jukwaa la Manchester United limefutwa?

Thread inasomeka "NEW EVERTON!"

😆😆😆
 
Last edited by a moderator:
......samahani naomba kuuliza,
Eti jukwaa la Manchester United limefutwa?

Thread inasomeka "NEW EVERTON!"

😆😆😆

Bila samahani, majukwaa bado yapo yote pale old Trafford. Vipi unahitaji ticket nikupe bei zake?
 
......samahani naomba kuuliza,
Eti jukwaa la Manchester United limefutwa?

Thread inasomeka "NEW EVERTON!"


Meli ya Arsenal ikianza kuyumba na wewe unakimbilia kule MMU,
January tunakuja mchukua Ramsey naona ameshakomaa
 
Meli ya Arsenal ikianza kuyumba na wewe unakimbilia kule MMU,
January tunakuja mchukua Ramsey naona ameshakomaa

....heheh... Belo, mmu ndio mpango mzima hapa jf, hebu cheki hii....

....umeona ee?! Yaani RvP anajiona kama anachezea EVERTON tu sasa.
Habari ndio hio...
 
Last edited by a moderator:
Nyie mashabiki wa Arsenane mnakuja kwa mbwembwe badae mnamwachia Wacha na Balantanda jukwaani tunakuomba uwe unatembelea haya majukwaa hadi msimu unapoisha sio mkifungwa mnakimbia

Tutaendelea kuwepo kuishuhudia Maneverton under Moyes & Phil Nevile mkuu hahahahahaha.
 
Last edited by a moderator:
Huyu fellaini anatakiwa aongeze ungangari na pia atoe pasi za mwisho,akiweza hayo atakuwa wa faida sana kwetu
 
Rooney: Some people seem to be questioning my commitment to the England squad and the fact I had to pull out of the 2 games. There's nothing I would like more than to be helping the lads in the qualifiers. I'm sure people will see from these images the reason why I won't be able to play.

Get Well Soon
 
Huyu fellaini anatakiwa aongeze ungangari na pia atoe pasi za mwisho,akiweza hayo atakuwa wa faida sana kwetu

Nani kasaini mkataba wa miaka 5; inaonekana Moyes anataka kumtumia.
 
Attachments

  • edbab29585cff7c08363dfe2f46b20fa.jpg
    44.5 KB · Views: 92

Dah Poleni wakuu, atapumnzika mambo ya ushoga lakini khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.

Nani kasaini mkataba wa miaka 5; inaonekana Moyes anataka kumtumia.

Huyu Moya naye kwa nini anakuwa na roho ya korosho namna hii, si angempa miaka kumi tu kieleweke. Haya Wacha tuangalie mambo ya NY chacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…