Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndio mkuu Goal, Men, Espn na Metro sio reliable source.

Mpaka bruno mwenyewe amejitokeza kwenye vyombo vya habari kukanusha case tayari imekuwa closed na hizo tetesi hazina mashiko tena.

Are you serious Bissaka ni usajili uliofeli? Beki ambaye anaweka standard mpya ya ukabaji ambayo. Haijawahi tokea toka ligi ianzishwe? Beki ambaye anafanya tackling kushinda hata proffesional no 6 ambao ndio kazi yao?

Na msimu uliopita man Utd walikuwa na beki ya 3 kwa ubora pale Epl give Maguire Credit man. Msimu wa 2018/19 tulifungwa goli 54, msimu uliopita tumefungwa goli 39 tu. For comparison zaidi ya mara 6 ambapo Fergie amechukua ubingwa Epl alifungwa zaidi ya Goli 39. Beki yetu bado ina matatizo ila ime improve sana, na Sababu ni Maguire.

Nani anakumbuka Beki yetu kabla ya Maguire? Ikiwa kona ama Foul roho inakuwa juu juu muda wowote tunafungwa, tulikuwa tuna Concede sana magoli ya set piece, je sasa hivo tupoje? Maguire hajatu improve?

Ighalo hajasajiliwa na pia hajaletwa kupokonya namba ya Mtu yoyote pale United, amekuja kuhakikisha striker wetu wanapata mapumziko ya kutosha, cup games zote ambazo sio muhimu amecheza yeye. Na hizo mechi jamaa amefanya vizuri tu cup competition zote tumefika Nusu.
-Europa league kaanza mechi 3 ana goli 2 na Assist 1
-Fa cup kaanza mechi 3 ana Goli 3

Mtu alieanza mechi 6 tu na Goli 5 na Assist moja unaanza vipi kumuita amefeli?

Na james vile vile hajakuja United kuwa Rashford ama Fernandez, jamaa ana speed na anajituma, mechi za kupaki basi ni mbaya na mechi watu wakifunguka anafanya vizuri.
 
alisema mechi imeshaisha?? Jamaa kumbe ni kiwaki kiasi hicho, yani hii manchester ya kumaliziwa mechi first half?.
Chelsea amewahi kutupiga 3 bila na sec half yakarudi yote huyu 4 kwa 1 anadai mechi imeisha. Sasa hata morali ya kupambana kurudisha inatoka wapi ikiwa boss kashawavunja moyo wachezaji halafu wanasema ana DNA labda ya kuku sio Manchester United.
 
Maguire
 

Attachments

  • Screenshot_20201015-192953.jpg
    67.7 KB · Views: 9
Mfumo kumzunguka Bruno ashine? Unamaanisha kupiga penati?
 
Ukimtoa De bruyne nitajie mchezaji mwenye Assist nyingi Epl kushinda Bruno toka bruno aje epl
De Bruyne ana assissts nyingi? Hapana ni Harry Kane ana assissts 6 anafuatiwa na Grealish na McGinn.

Hayupo Fernandes wala De Bruyne.
 
Huo ni Msimu huu nimekupa Challenge toka Bruno Aje Utd.

Msimu huu unaendelea na ni marathon soon atapanda huko kwenye rank za Assist.
Kwa msimu uliopita wa kwanza ni De Bruyne na anayemfuatia ni Trent wa Liva. Wa tatu Andrew Robertson, wanakuja David Silva na Son.

Hizi stats za Fernandes kua namba mbili wa assissts mkuu zimetoka wapi?
 
Mkuu,

With Maguire (Captain)& Bissaka (tumewanunua kwa pauni mil 130) kwenye defence tumeshafungwa magoli 11 kwenye mechi 3 (average almost 4 goals) na kumbuka Brighton waligongesha mwamba mara 5

Na timu tulizocheza nazo ni Brighton,Crystal Palace,Spurs (ya Mourinho) na still bado unaona defence yetu ime-improve ?



Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Hili swali nishachoka kulijibu wakuu, fitnes fitnes fitness sijui tuongee mara ngapi, ipe timu hata mechi 5 au 10 ujue kama ni magarasa
 
How fitness ina-affect defence tu sio foward?

This season tutafungwa magoli mengi sana mark this, ntakukumbusha



Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Kiongozi relax. Hata hao fowarders bado hawafungi. Generally performance ya timu so nzuri mpaka sasa, yawezekana ni coarching problems au kingine chochote, ila seems it is a temporal problem to be fixed soon. Ukiona umecheza na kuzidiwa possession na timu inayofundishwa na Mou, hapo defense haiwezi laumiwa peke yake.

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Hili swali nishachoka kulijibu wakuu, fitnes fitnes fitness sijui tuongee mara ngapi, ipe timu hata mechi 5 au 10 ujue kama ni magarasa
Timu zote zinafuata ratiba moja.

Kujipanga ili kua fit ni juu ya timu.

Ni kwa vipi Maguire kumark team mate, kukabia macho kuhusishwe na fitness?

Tufanye kweli ni fitness.

Msimu uliopita akiwa fit alimkimbia Aubameyang. Akawa anamark team mates mpaka akamrukia kichwa Baily na kumpasua.

Hii hoja ya fitness mbona ina matundu
 
Ukitoa mechi na brighton mechi ya palace na spurs forward imefanya nini? Timu nzima ilikuwa down.
Katika mechi 3 tumefunga goli 5 average 1.6goal per game last season tulikuwa na ratio ya 1.73 goal per game so tofauti ni ndogo sana
but tumefungwa 11 average 3.6 per game its the worst with £200m+ defence

Only WestBrom ndio wamefungwa magoli mengi kuliko United (13) na wamecheza mechi 4 while United mechi 3

Hizi ni statistics mbovu sana

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
★Shaw on Alex Telles: "Competition for any team is a must. There is competition for every single spot and you’ve got to be ready for it, work hard and give the manager a decision harder than what he’s had to make before.".★


#GGMU



manutd |
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…