The reports of Bruno Fernandes and Ole Gunnar Solskjaer falling out are "absolutely not true".★Goncalo Lopes | Bruno Fernandes has lost faith in Solskjær.★
#GGMU
manutd | View attachment 1600468
Kwahiyo unawaomba mashabiki wa timu pinzani waache kuwashambulia wachezaji wenu?Sishangai Maguire kula umeme, tayari jamaa asha-lose confidence. Wachezaji wetu wanapata dhihaka sana mitandaoni. Kwa mchezaji kama Maguire sasa hivi anapambana zaidi kuudhihirishia ulimwengu kuwa ni bora kitu kinachomfanya akose umakini uwanjani.
Ukiangalia page za United na za wachezaji katika comments 10; 7 utakuta ni trolls kumu-attack mchezaji au timu nzima. Maguire mara aitwe fridge. Tumeona watu kama wakina Lingard wametukanwa sana hata juzi kuna takwimu zilitoka wachezaji wanaoongoza kutukanwa mitandaoni Rashford alikuwa wa kwanza na watu wengi walishangaa ni vipi Lingard hayupo kwenye list.
Wachezaji wetu wanahitaji socia media detox kwa angalau mwezi mmoja na ikiwezekana accounts zao za mitandao wapewe watu wa kuziendesha, afya ya akili ni muhimu kwa wachezaji. Hii timu nishaanza kuona watu watatupiana sana fuko la misumari ila shida pia ipo kwa mashabiki wa United na mashabiki wa timu pinzani wanashambulia sana wachezaji wetu.
The reports of Bruno Fernandes and Ole Gunnar Solskjaer falling out are "absolutely not true".
There is no problem between Ole Gunnar Solskjaer and Bruno Fernandes and between Bruno Fernandes and Manchester United. [@podcastherewego; @FabrizioRomano]
Kwahiyo unawaomba mashabiki wa timu pinzani waache kuwashambulia wachezaji wenu?
Sasa kupoteza imani si ndiyo tatizo tayari hilo. Mchezaji kukosa imani na kocha ni tatizo na ukikosa imani na mtu tayari mnakuwa na tofauti maana hamuaminiani.★Hivi maana ya Lost faith ni nini??? Yani shid sio kwamba wana ugomvi mkuu★
Ebwana poleni. Hapo bado kwa Cavani watu wameshikilia P kungoja a-underperform waanze kuimba★Sio Timu pinzani tu pia hata sisi tusiwashambulie sana.
Hence:MAGUIRE asiachwe mpaka avuliwe unahodha msiniangushe kwa hili★
Ni mapema kuclaim hivyo ila hata kama wana ugomvi haitakiwi utoke nje ya dressing roomSasa kupoteza imani si ndiyo tatizo tayari hilo. Mchezaji kukosa imani na kocha ni tatizo na ukikosa imani na mtu tayari mnakuwa na tofauti maana hamuaminiani.
Kwahiyo unataka kusema Fabrizio yeye alikuwa anatoa taarifa kwa ku-refer habari ipi?
Habari ilikuwa hivi;Ni mapema kuclaim hivyo ila hata kama wana ugomvi haitakiwi utoke nje ya dressing room
Tukio la Greece kama hazitafanyika juhudi za makusudi litamaliza career yake kwa haraka sana.Magwaya kala Umeme tayari...hakuna kitu pale
It is absolutely false.★Goncalo Lopes | Bruno Fernandes has lost faith in Solskjær.★
#GGMU
manutd | View attachment 1600468
Yea ulinzi wa image ni muhimuHabari ilikuwa hivi;
“Fernandes opinion of Solskjaer is similar to that of other players in the team. He does not think he’s strong enough to manage the squad and does not have the capabilities to push the players forward in the direction they should go.” @DuncanCastles #MUFC
Inaonekana siyo ishu ya Bruno pekee, hii habari inaweza kuwa ya ukweli ila ili kulinda image ya club inabidi waikanushe.
It'll be slowly but you will come to reality. Ha-underperform kwakua kuna tukio la Greece anaunderperform kwakua the guy is overrated.Tukio la Greece kama hazitafanyika juhudi za makusudi litamaliza career yake kwa haraka sana.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
That's an opinion not a factIt'll be slowly but you will come to reality. Ha-underperform kwakua kuna tukio la Greece anaunderperform kwakua the guy is overrated.
kiBeki ya dunia aka PAUNDI MILLION 80 jana imefanya yake timu ya taifa, hongera sana MAGURE umeonyesha kiwango kikubwa mno.View attachment 1600648
We jamaa una phd ya unafkiBeki ya dunia aka PAUNDI MILLION 80 jana imefanya yake timu ya taifa, hongera sana MAGURE umeonyesha kiwango kikubwa mno.View attachment 1600648
For now.
Timu zimechomoa.hawajakubali FA, hio ni proposal tu wameitoa, itabidi timu zipige kura.
Yah nilichelewa kuona, jamaa wanataka Epl iwe kama ligi zao za Kimarekani.Timu zimechomoa.