Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilishazungumzia humu Haaland hana ubavu wa kumkatalia Ole, Sababu Ole ndio aliemtoa Jalalani na watu wengi walikuwa Hawam rate ila ni Trust ya ole ilioibua Hiki kipaji.

Utd na Haaland ilikuwa ni deal Done aliekuja kuharibu ni Raiola. Na walichofanya Utd ni sawa huwezi ukawekewa Release clause ndogo kama ile, Utd sio stop gap.
 
Members wengi IG wanasema kiwango anachoonyesha Pogba akiwa ufaransa ni ushahidi kwamba pale man u hakuna kocha wa kuweza kuutilise uwezo wake.

Hence narudia tena. Kwa fixture ya man u game wanayoweza kushinda ni Newcastle na ile nyingine jina limenitoka zilizobaki ushindi utategemea juhudi binafsi za wachezaji kuliko kocha.
 
Kwahiyo hata Mourinho hakuwa na uwezo wa kumtumia ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…