Kwahiyo Ole ndiye aliyesababisha Mo na Van Gaal akafukuzwa ?Mbona hata morinho alichukuwa europa na akatimuliwa next season?
Van gaal alichukuwa FA na bado akafukuzwa..
Timu haichezi vizuri..
Kila siku inarudi chini,,
Viwango vya wachezaji vinashuka kila siku...
Tatizo ni ole,,
Bila kumfukuza mapema anaweza kusababisha team nzima ikashuka Kiwango..
Hata Ole Alianza vizuri tu kama Arteta.Angalia ufundishaji wa Arteta.
Hapo ndo utasema mwelekeo wake upoje.
Tutavuka preliminary stage zote.UCL unaenda kupata nini zaidi ya kurudishwa hatua za awali kabisa?
Tuache bias tunaposhinda mnasema wachezaji wamejituma kuficha makosa ya OleOLE HAPA HUTOKI!!!
Newcastle
Hii mechi hata tukishinda itakuwa ni kwa tofauti ya goli 1 (1 - 0, 2 - 1, 3 - 2) au droo kabisa.
PSG
Weee! Sema tena "Mountains are there to be climbed."
Chelsea
Ole hana mbinu zitakazompa japo point 1 kutoka The Blues.
Leipzig
Kama vile inakuja inakataa. Hii tunaweza shinda ila...
Arsenal
Hapa tunashida, chini ya Ole timu yetu ni mbovu ila Arsenal hana nafasi ya kuondoka hata na point 1.
Nawaona mnaozidi kumpigia chapuo Ole ila ukweli tu ni kwamba Ole ni mweupe.
Nimetoa comment hapo juu kwa upcoming fixtures, guess what? Kuna possibility kubwa timu itapata matokeo mazuri sana;
Sasa hapo ndiyo Ole ataonekana bora ila kiukweli kazi kubwa itafanywa na uwezo binafsi wa wachezaji, wachezaji wetu wanajitahidi sana kuficha makosa ya Ole.
Ole it's time to go; eti United sasa hivi ni ya kuwazia game ya Newcastle, United ya sasa ni ya kuwazia timu kama Leipzig. Kwa kikosi tulichonacho ni dhahiri Ole ana uwezo mdogo. Mnaondelea kumsifia endeleeni, Ole kapewa muda wa kutosha angalau kucheza soka safi uwanjani, angalau timu kuwa na 60% ikiingia uwanjani.
Ila Ole na vijana wake wanajificha kusema "hatupewi first choices" "timu haikuwa fit, hatukuwa na pre-season matches"
#OleOUT
Ni kweli ila kwa uwezo Wa kocha wetu hizo timu zitapokuwa kwenye pitch against United zitajiuliza Mara mbili mbili hofu ilikuwa inatoka wapi!?Tutavuka preliminary stage zote.
Hizo timu zote kwenye kundi letu zinaiogopa united
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kitu gani hicho cha ziada? Hebu kitajeni tukijueHata kama ilimchukuwa miaka 10 ,,lakini tangia mwanzo alionyesha ana kitu cha ziada kuwapa spurs kama akipewa muda.
Ole has proved already ,,,he has nothing more to give for man u..
Yaani kwa kifupi wadau wanamaanisha hawana imani tena na Ole na ikitokea timu ikashinda inakuwa imeshinda kwa kujituma na uwezo binafsi Wa wachezaji na si mipango ya mwalimu. Na ikitokea imefungwa basi si kitu cha kushangaa Mana uwezo Wa mwalimu si Wa kushinda! Kwa maana nyingine kwa sasa ile timu inapocheza, pale kwenye benchi awepo kocha au asiwepo ni sawa tu!Tuache bias tunaposhinda mnasema wachezaji wamejituma kuficha makosa ya Ole
Tukifungwa tunakimbilia kusema Ole ni mbovu.
I don't understand
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hapa hata mimi nakuunga mkono. Huyu Mikel Arteta watu watamkataa kabla hata msimu huu haujaisha.Hata Ole Alianza vizuri tu kama Arteta.
Tumpe muda nae tuone
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Asante kwa kuliweka hili sawa.Yaani kwa kifupi wadau wanamaanisha hawana imani tena na Ole na ikitokea timu ikashinda inakuwa imeshinda kwa kujituma na uwezo binafsi Wa wachezaji na si mipango ya mwalimu. Na ikitokea imefungwa basi si kitu cha kushangaa Mana uwezo Wa mwalimu si Wa kushinda! Kwa maana nyingine kwa sasa ile timu inapocheza, pale kwenye benchi awepo kocha au asiwepo ni sawa tu!
Mkuu Ole akikosa matokeo kwenye mechi mbili zijazo unadhani ataendelea kuwa kocha wa United?Nimeangalia Record za Klop na Ole toka wamekuja Epl, klop ameshika hadi nafasi ya 8, imemchukua hadi misimu 4 kuja kushika hio nafasi ya 2. Ole ameweza kushika nafasi ya 3 ndani ya misimu miwili tu. Alichofanya Ole Ndani ya misimu miwili Klop alishindwa kukifanya Misimu 4 ya mwanzo, ila Bado ole hafai.
Class ya mashabiki wetu ndio ilipo siku hizi, kocha anafaa au hafai kwa mihemuko ya mechi moja moja na sio target ya timu.
Hata kama Hatakuwa itakuwa ni Tatizo la Bodi na sio Ole. Siku zote huwezi kumchukua Mbuzi na Kumsimanga kwanini Hajataga.Mkuu Ole akikosa matokeo kwenye mechi mbili zijazo unadhani ataendelea kuwa kocha wa United?
Mkuu nimekuwa nikifuatilia sana maoni yako juu ya Ole una positive view sana kwake (which is good) na ni dhahiri upo upande wake. Una point nyingi za msingi kumtetea Ole na naheshimu hilo kwa mawazo yako ila Ole HAJUI!Tuache bias tunaposhinda mnasema wachezaji wamejituma kuficha makosa ya Ole
Tukifungwa tunakimbilia kusema Ole ni mbovu.
I don't understand
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Katika hiyo misimu lete kikosi cha Liverpool halafu uangalie na baada ya Klop kupewa mahitaji yake.Nimeangalia Record za Klop na Ole toka wamekuja Epl, klop ameshika hadi nafasi ya 8, imemchukua hadi misimu 4 kuja kushika hio nafasi ya 2. Ole ameweza kushika nafasi ya 3 ndani ya misimu miwili tu. Alichofanya Ole Ndani ya misimu miwili Klop alishindwa kukifanya Misimu 4 ya mwanzo, ila Bado ole hafai.
Class ya mashabiki wetu ndio ilipo siku hizi, kocha anafaa au hafai kwa mihemuko ya mechi moja moja na sio target ya timu.
Sababu kubwa ya sisi kutokupata matokeo mazuri na kumuona Ole hausiki ni zipi?Hata kama Hatakuwa itakuwa ni Tatizo la Bodi na sio Ole. Siku zote huwezi kumchukua Mbuzi na Kumsimanga kwanini Hajataga.
Na kwenye soka kuna nafasi ya Kuwa-Prove wrong watu..Tumpe pia Ole hiyo nafasi..Mkuu nimekuwa nikifuatilia sana maoni yako juu ya Ole una positive view sana kwake (which is good) na ni dhahiri upo upande wake. Una point nyingi za msingi kumtetea Ole na naheshimu hilo kwa mawazo yako ila Ole HAJUI!
Msimu huu 'Ole Boys' mnasema ni match fitness ndiyo imeleta matokeo mabovu; kwa 40% nakubaliana na mawazo yako ila 60% sikubaliani na wewe. Hii timu ya Ole haijaanza kupata shida ikicheza na timu ndogo msimu huu, tumeona last season ilikuwa ni kama vile timu kubwa tu ndiyo Ole anaziweza kwenye mbinu zake.
Kipindi cha Ole tumefanikiwa kusajili wachezaji wazuri sana ila amekuja kuonyesha ni jinsi gani bench lake la ufundi linaua vipaji.
Nakumbuka maneno ya vibanda umiza mapema msimu uliopita:
"Wan, two, three Bissaka"
"James the Flash"
"Maguire" hii wadau walikuwa wanaitamka Kiswahili kuonyesha msisitizo.
Leo hii imebaki story, yapo mengi mazuri Ole kafanya ambayo yananifanya nitamani abaki ila kwa machache mabaya anayofanya ndiyo chanzo cha United kufeli.
Ukienda Everton utakuta World class player mmoja sidhani kama kuna mwingine, nenda Leeds sidhani kaka kuna World class player. Ila ukirudi Manchester United utakuta kuna Pogba, De Gea, Bruno na wachezaji wengi wenye uwezo binafsi mkubwa ambao ukiunganisha uwezo wao ndiyo unapata timu ya kueleweka.
Mimi sililii mataji kutoka kwa Ole, nataka mpira unaoeleweka uwanjani. Makombe yatakuja tukiweza kucheza soka safi as a team na kila mtu ajue namba yake na mbinu za kocha ibaki ku-deliver tu uwanjani.
Test yangu kwa Ole ni game ya Newcastle, hawa ni the likes of Crystal Palace na Brighton. Sasa hivi sitegemei kisingizio cha fitness sasa hivi mtatuambia shida ni wachezaji au mbinu na ufundishaji wa kocha.
Mkuu unasema kutopata matokeo as if tumecheza mechi za kutosha tumezingua.Sababu kubwa ya sisi kutokupata matokeo mazuri na kumuona Ole hausiki ni zipi?
Nice move..tumpe muda Ole kidogoMkuu unasema kutopata matokeo as if tumecheza mechi za kutosha tumezingua.
Mnasahau timu toja january mwishoni si wadogo si wakubwa tumewafunga wote timu imetoka chini hadi nafasi ya 3.
Mpe kocha hata miezi miwili kwanza uone kama kweli hao wachezaji wameshuka viwango.
Miaka kibao fergie anaanza vibaya na baadae tunabeba ubingwa,