BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,076
Mbu wewe nilijua tu utakuwa umeangusha mstari matata..Bravo to Liverpool, mie nimenywea kama maji ya kwenye simtak🙂......salaam aleykum BelindaJacob, salaaam aleykum Belo, salaam aleykum Manda, ndugu, jamaa na marafiki wa Man United!...
...Wamejificha saa hizi wanachungulia kwa mbaliiii..... BelindaJacobs & Co where are you!? We miss you 🙂🙂🙂
Asante chifu...yaani mechi 3 tu, lakini haters wanachonga ngenga kama United tumeshuka daraja.
Nipo hiki kikosi Moyes atakuwa anapangiwa na Giggs,Kagawa hata benchi hayupo
Kwi kwi kwi kwi...Mtaomba SAF aahirishe retirement yake.... kwa miaka mingine mitatu ili aje aokoe jahazi.
Timu imecheza vizuri tumefungwa kimchezo tu, tena ukilinganisha na game za nyuma utaona liva walikuwa wanatunyanyasa sana walikuwa wanatufunga na kumiliki mpira kwa kiasi kikubwa sana lakini leo timu imecheza fresh ila tumeshindwa tu kutumia nafasi zilizopatikana
Poleni sana kwa kucheza vizuri Mkuu lakini kuondoka uwanjani na ZERO point...Ball possession MANU 57% L'Pool 43% ingekuwa ball possession na "kucheza vizuri" vinahesabiwa kama ushindi, basi leo mngejizolea points zote tatu.
Ha ha ha ha...haya bana...leo umetuweza...vichwa chini.
Ndio ukubwa huo Mkuu...Tomorrow is a new day....labda vichwa mtaweza kuviinua tena 🙂
Jamani samahanini hivi mechi ya leo ngapi ngapi?
Agent wa Kagawa kasema bado hana match fitness. Alisema hivyo kujibu speculations zilizoenea kwamba Kagawa anatakiwa kurudi BvB.
Ila tunahitaji Box to box midfielder. Herrera ama Fellaini watatufaa kama wakija.
Not long from now utasikia babu Ferguson anarudi tena kama alivyofanya Paul Scholes