Middle finger sign sio issue, troll kistaarabu.Hata spurs
Unadhani ni yanga hao au simba hadi watoe taarifa za uongo au wafiche taarifa za majeruhi ya mchezajiHuyu itakua ni majeruhi tayar sema imefichwa!
Juzi mbn alikua uwanjani tena groupwise na alipiga mpira hadi akaanguka! Karantin imetoka wapi?
Huyu tumepigwa
Nani kakwambia Arsenal hakuna presha? Kubali tu timu yenu mbovuKwenu anacheza yule na atatupia, unajua man u ni presha sn.
SawaAchaga mambo ya kuropoka bro jifunze kufatilia mambo kwanza, iyo ni sheria maalumu kwa mgeni kukaa quarantine siku kadhaa hiyo utofauti wake ni kwamba haudakwi airport kama walivyokuwa wanafanyiwa huku hostel za magufuli sijui bali ni principle zilizopo kule
Huyu aliumia kitandaniMajeruhi kivipi wakati, ajacheza miezi 7.
Quarantine ni sheria za UK ndio zinataka hivyo.Allex Telles alikuwa na timu, Porto. Ambapo huwa wanakuwa tested mara kwa mara.
Kama Epl wanavyofanya.
Cavan yeye hakuwa na timu yoyote.
Duuuuh sawa ila aya yote kayataka OGSDe gea - problem
Bissaka -Cant attack
Maguire -Useless
Lindelof - Horrible
Shaw - Good for nothing
Pogba - Forgot football
Matic - slow
Bruno - always waiting for penalties
Rashford-a good player in the wrong team
Martial - plays only when he likes don't forget he slaps people
Greenwood - a talent waiting to be wasted
wastedView attachment 1593647
Mhhhhhh, hii fixture ni hatari.Hold your breath.View attachment 1593430View attachment 1593431
Hapa OGS bye bye,Hold your breath.View attachment 1593430View attachment 1593431
Upo sahihiNimecheka sana kuna mshabiki sijui ni wa Arsenal? Anajaribu kutu-direspect ila ukweli utabaki kuwa ukweli hakuna kocha asiyeogopa kucheza na Manchester United regardless ya mwenendo wetu wa sasa. Wengi wanajua pengine tunaweza kuzindukia kwao. Simba hata awe amepigwa risasi za kichwa mara kumi na kaanguka chini bado utaogopa kwenda kuhakikisha kama kafa kweli au bado.
Hapa OGS bye bye,
Pochetino akae mkao wa kula
Aloo mechi za moto halafu kila baada ya siku 4Hold your breath.View attachment 1593430View attachment 1593431
MANCHESTER UNITED UEFA A-LIST SQUAD
Goalkeepers: David De Gea, Dean Henderson, Lee Grant.
Defenders: Eric Bailly, Tim Fosu-Mensah, Victor Lindelof, Harry Maguire, Luke Shaw, Alex Telles, Axel Tuanzebe, Aaron Wan-Bissaka.
Midfielders: Bruno Fernandes, Fred, Daniel James, Jesse Lingard, Juan Mata, Nemanja Matic, Scott McTominay, Facundo Pellistri, Paul Pogba, Donny van de Beek.
Forwards: Edinson Cavani, Odion Ighalo, Anthony Martial, Marcus Rashford.
Yeye na Greenwood pamoja na U21 wengine hawajumuishwi kwenye A-LIST SQUAD ambayo ina wachezaji wa senior team tu, wao wapo kwenye B-LIST SQUAD kwahiyo kocha akiwahitaji atakuwa anawajumuisha kwenye kikosi chake atakachokichagua kucheza kila mechi na kutuma UEFA kabla ya masaa 24 ili waweze kucheza.Mbona Brandon William Simuoni hapo?
Au tushatia sokoni.