Mnapenda kujifariji ila ukweli utabaki kuwa ukwelihuyo jamaa bana anajua mpira uliochezwa na spurs basi kila mech ndio itakuwa formation hiyo hiyo
Kwani wewe bado unafikiria vya zamani au vya wakati huu
Mnapenda kujifariji ila ukweli utabaki kuwa ukweli
Jibu swali kwanzaWewe unafikiria sasa?
Hakuna ulazima wa kupewa sababu inabidi uthibitishe mwenyewe kuwa dada yako ni chiziNa wewe unafanyaje hapa? Yaani unaambiwa sory dada yako chizi na wewe utakubali tu et eee bila hata kupewa sababu za maana
Jibu swali kwanza
Hakuna ulazima wa kupewa sababu inabidi uthibitishe mwenyewe kuwa dada yako ni chizi
Aya tutaona mengi mwaka huuNdio huko juu tumekwambia hamna mech ngumu hapo sababu ni kwamba timu ipo vilevile
Hivi mashabiki wa Arsenal munaruhusiwa kuishabikia spurs?Sawa
Aya tutaona mengi mwaka huu
Hivi mashabiki wa Arsenal munaruhusiwa kuishabikia spurs?
Mjadala nimeshaumaliza sina cha kukujibuKwa hiyo ni manchester united ndio timu mbov kwa kuwa kafungwa mech mbili et? Top 4 iliyoisha nani hajafungwa hadi muda huu?
Kwani sasa hivi hatuko UEFA ?Alikuwa anafugwa ila alikuwa hakosi nafasi ya kushiriki UEFA
Hawa ni mashabiki wa timu ndogo ndogo hivyo wanakuja huku kutoa stress zao baada ya kutumikia vichapo kwa muda mrefu.huyo jamaa bana anajua mpira uliochezwa na spurs basi kila mech ndio itakuwa formation hiyo hiyo
Msimu uliopita ulikuwa UEFA kwani?
Arsenal baada ya kushinda hizi mechi mbili wako kwenye furaha ya ajabu kama mtoto kala vitumbuaNimecheka sana kuna mshabiki sijui ni wa Arsenal? Anajaribu kutu-direspect ila ukweli utabaki kuwa ukweli hakuna kocha asiyeogopa kucheza na Manchester United regardless ya mwenendo wetu wa sasa. Wengi wanajua pengine tunaweza kuzindukia kwao. Simba hata awe amepigwa risasi za kichwa mara kumi na kaanguka chini bado utaogopa kwenda kuhakikisha kama kafa kweli au bado.
Hawa ni mashabiki wa timu ndogo ndogo hivyo wanakuja huku kutoa stress zao baada ya kutumikia vichapo kwa muda mrefu.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hatukuwa UEFA kwa sababu ambazo ni obviousMsimu uliopita ulikuwa UEFA kwani?
Eti Arsenal wanakuja kutoa ushauri kwenye jukwaa la United ? Hiki si kichekesho?Anakwambia tunajifariji tukisema sio kweli kwamba yeye ana maono na anajua balaaanachoongea ndio kina ukweli ila sisi ni waongo msimu ulioisha Big Sam aladyace alitabiri united anashuka daraja lakini yule top 4 wao waliangalia mech 4 tu za mwanzo wakatoa maono kama ya jamaa kilichofuata anakijua