Agent wa Kagawa kasema bado hana match fitness. Alisema hivyo kujibu speculations zilizoenea kwamba Kagawa anatakiwa kurudi BvB.
Ila tunahitaji Box to box midfielder. Herrera ama Fellaini watatufaa kama wakija.
Mawinga ndo wanazingua zaidi, hawapigi kabisa cross za maana
vipi Manu hamukufanya usajili safari hii?
With Man U you'r always happy
vipi Manu hamukufanya usajili safari hii?
.....it's lonely and cold here kwakweli,
Eerrie quiet!
......dahhhh?!!!
Mnajitetea hadi huruma,
Mara wingers, mara diamond...
Jamani ee!.... It is only a game and the "Best" team won!
Kabaaaaang!
Not long from now utasikia babu Ferguson anarudi tena kama alivyofanya Paul Scholes
Acha hizo,mechi moja tu!Not long from now utasikia babu Ferguson anarudi tena kama alivyofanya Paul Scholes
Haya bana,kunya anye kuku....Timu si mbaya kama tulivyodhani mwanzo, Wachezaji wamecheza vizuri tumepata nafasi kadhaa tumeshindwa kuzitumia, na wao wamepata nafasi chache wametumia vizuri.
Its just a game ila bado Utd ni timu nzuri tu
......dahhhh?!!!
Mnajitetea hadi huruma,
Mara wingers, mara diamond...
Jamani ee!.... It is only a game and the "Best" team won!
Kabaaaaang!
Not long from now utasikia babu Ferguson anarudi tena kama alivyofanya Paul Scholes