Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndiyo uelewe sahihi heri huyo Chong ameshazoea mazingira epl kuliko hao watoto wadogo.

Tusitetee upuuzi huu usajili tuliofanya ni upuuzi hautatusaidia chochote.



Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Maana yake ni kwamba EPL alionekana wa kawaida huko aliko anafunga,,huoni kama huko hakuna wachezaji bora kuliko EPL..
Ndy maana kila siku mfalme ni mmoja tu bundersiliga tofauti na EPL..
 
Mkuu hata huko alipo Suarez,,bado Diego simion alikuwa akimtaka cavani,,
Pamoja na kuwa na Suarez na Diego Costa..
Na elewa kuwa mchezaji kuchezeshwa namba husika haimfanyi kuwa ndy natural namba yake,,
Suarez ni natural 10 na anacheza akitokea kushoto kama martial..
Cavani ni natural center forward..
Cavani ni finisher,,tusibeze uwezo wake..
 
Maana yake ni kwamba EPL alionekana wa kawaida huko aliko anafunga,,huoni kama huko hakuna wachezaji bora kuliko EPL..
Ndy maana kila siku mfalme ni mmoja tu bundersiliga tofauti na EPL..
Chong alihitaji kujengewa confidence na physicality.

Kama tulikosa vyote hatukumuona hata Samuel Chukuweze pale Villa Real ??

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Kama mm tu mkuu nimependa sana usajili wake
hakuna anayechukizwa na usajili wa traore...
changamoto ipo kwenye hela iliotumika ni kubwa sana kwa mchezaji asiyekuwa na experience ya kucheza kikosi cha kwanza(kulipa euro millioni 30 kwa mchezaji ambaye hana uhakika wa kuingia kikosi cha kwanza ni matumizi mabaya ya rasilimali)
 
nafikiri ni paundi millioni 7
======
huko academy tumefanya uwekezaji mkubwa kuliko senior team

Hansen-Aarøen, Carreras, Jurado, Garnacho, McNeill, Pye, Hugill, Kambwala, Pellistri, Traore.
Sasa kwanini hatujawekeza kwenye senior team ?

Tunawekeza huko lakini wakikua tunawatoa kwa mkopo.

Hii maana yake nini ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Suarez hawezi kusajiliwa na Man U.

Licha ya kwamba kapita Liverpool. Kumbuka hata ile inshu yake na Evra.

Kuna wachezaji hawawezi kubali kuja Man U, Suarez ni mmoja wao.

Ndio maana hata media hajimuhusisha na Man U.
 
  1. muda ndio mwalimu wa hii kesi ya cavani
  2. kocha ndio msahihishaji wa hii kesi
=====================
  • tunaye bruno, pogba, donny pale central (nahisi wanatosha kumhudumia cavani)
  • tunaye martial na rashford upande wa pembeni
====================
tuna watumishi hewa wawili ambao usiweke mategemeo yeyote ya kumhudumia cavani
  • wan bissaka
  • shaw = huyu ndani ya misimu sita ametengeneza nafasi 6(wanavyosema wenyewe)
 

Consider pia umri wake, demands za EPL (intensiveness) ukilinganisha na League 1, the Fact kwamba hajacheza muda mrefu na anaikuta ligi iko katikati (fitness).

Nadhani wameangalia sana vitu hivyo ndiyo maana amepewa mkataba wa mwaka 1 mara 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…