1..anatokea america kusini..unaonekana ni mfuatiliaji mzuri wa LIGUE 1.
takwimu zake za kiafya zipoje
unadhani kwa nini mashabiki wengi wanamfananisha na falcao ajaye?
kumbe huyu falcao cavani hajacheza soka takribani miezi 7
au nadanganywa?
Sarri ndiyo hovyo bora hata Dean SmithNafahamu mkuu, ni vile mpira wake huwa siuelewi.
Au tumchukue Sarri nae hana timu na ana makombe(mawili)
Ubora wa mfungaji inategemea anacheza na nani ,Bundesliga kwani hao watoto tuliowasajili wanatoka ligi gani ?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hujadanganywa.kumbe huyu falcao cavani hajacheza soka takribani miezi 7
au nadanganywa?
Tatizo lingine makocha wazuri, wanaweza kugoma kuja sababu ya uongozi.
Suarez na martial uchezajj wao unafanana,,Man Utd kwanini hawakujaribu kumsajili Suarezi?
Siamini kama wangekuwa serious Liverpool connection ingezuia asisajiliwe.
Point ninayoona hapa ni kuwa United kila kitu wanafanya kidharura, United chini ya Sports Director Ed Woodward ni majanga kwenye transfer business
Hajacheza senior timu huo uwezo mkubwa mnauona wapi ?
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mashabiki wa martial ktk ubora wao..kumbe huyu falcao cavani hajacheza soka takribani miezi 7
au nadanganywa?
Suarez na martial uchezajj wao unafanana,,
Hata kwenye kikosi cha Uruguay Suarez anacheza pembeni na cavani amepewa jukumu la mauaji no 9..
Man u walikuwa wanatafuta no 9..
Hii recruitment ya united ina matatizo tumesajili South Americas watatu wakati hawana historia ya mafanikio united.kumbe huyu falcao cavani hajacheza soka takribani miezi 7
au nadanganywa?
Yes hajacheza toka february iliposimama league ya ufaransa mbali na hivyo alikosa namba toka kipindi aliposajiliwa Mauro Icardikumbe huyu falcao cavani hajacheza soka takribani miezi 7
au nadanganywa?
teh teh tehNafahamu mkuu, ni vile mpira wake huwa siuelewi.
Au tumchukue Sarri nae hana timu na ana makombe(mawili)
Ndiyo uelewe sahihi heri huyo Chong ameshazoea mazingira epl kuliko hao watoto wadogo.Ubora wa mfungaji inategemea anacheza na nani ,
EPL Ni ligi bora na ngumu duniani..
Siku hizi hata demaria na falcao huko walipo wanafunga hatari.
basi tungelimsajili tokea mwezi September apate match fitness (huu ni ufala)Yes hajacheza toka february iliposimama league ya ufaransa mbali na hivyo alikosa namba toka kipindi aliposajiliwa Mauro Icardi
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Si bora tumwachie Greewood acheze huko kulia kuliko kutumia milioni 30 kununua mtoto ambaye hatacheza !!!?Amecheza mechi 4 senior football
Lakini pia mbona wengine (mimi nikiwa mmoja wapo) tulikuwa tunasema Greenwood ana uwezo mkubwa kabla hajacheza senior team na sasa anaonesha huo uwezo
Mchezaji kuonesha uwezo sio lazima a shine kwa wakubwa
Lakini point yangu ya msingi tulipaswa kusajili mchezaji ambaye yupo tayari kuliko hao madogo (yaani kwa mfano kwa msimu huu tungesajili Sancho the one for the present, na Amad the one for the future)
teh teh teh.Mashabiki wa martial ktk ubora wao..
Amad Traore ni mzuri sana, ila kuna mambo 2
1. Ata cope na pressure ya kuchezea United na ligi ya Uingereza?
2. Hataathirika na poor coaching staff iliyopo?
Binafsi nimepanda usajili wake
hii hela ni nyingi sanaSi bora tumwachie Greewood acheze huko kulia kuliko kutumia milioni 30 kununua mtoto ambaye hatacheza !!!?
Kwa makocha waliopo epl kwa sasa niteh teh teh
sarri atatulete jorginho
====================
kama tunahitaji mpira wenye muelekeo in term of philosophy (matokeo tutayajua mbele kwa mbele)
- timu yetu sera ya uvumilivu hatuiwezi kuanzia mashabiki hadi bodi.
- sera ya recruitments hatuiwezi(hatujui target zetu)
- kinachowekezwa kwenye soka hakitabiriki (bajeti inasuasua ila dividends kwa shareholders wakuu ni uhakika)
tukihitaji matokeo hawa wameshathibitisha
- Julian Nagelsmann = Leipzig
- Mauricio pochettino
- Ralph Hasenhüttl = Southampton
- Joachim low = Germany
- Carlo Ancelotti = huyu nilimpendekeza tokea mwanzoni tumpe timu halafu baadae tumfukuze (ni rahisi sana kumuachisha kazi huyu mzee pindi anapomaliza kuifanya shughuli yake)
- Diego Simeone
- Massimiliano Allegri
- roberto mancini