Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dirisha la usajili limefungwa

The best signing United can make is to sign Ole replacement

Sisemi tuna wachezaji bora kama Bayern Munich, HAPANA. Lakini wachezaji kama 18/20 ni bora huko walipotoka au hata wakiwa United kuna wakati walikuwa bora sana

Tatizo tuna legend anaye fanya kazi ya coaching
 
Wangemsajili hata David Brooks wa Bournemouth siyo hawa watoto wasiojulikana.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
kwa mujibu wa taarifa douglas costa alihitajika kwa mkopo ila Juventus walitukatalia, cha ajabu wamempata kwa mkopo.

man utd tunapopata tiketi ya kucheza UEFA ndio tunakuwa wagumu kuingia sokoni au tunaishia kufanya sajili za michepuko

2015/2016 : tuliwasajili schneiderlin, depay, martial, sergio romero(free), schwensteiger na darmian
tuliwauza: Di Maria, Chicharito, RvP, Nani, Jonny Evans na rafael

2018/2019 : tulimnunua diogo dalot na fred
 
Donny Van De Beek✓

Edinson Cavani✓

Alex Telles✓

Facundo Pellistri✓

Amad Diallo✓


Ole tumia resources hizo to the maximum,Grace period is over
Hata mimi huu ndio msimamo wangu, OGS atumie risasi zote alizonazo, tofauti na hapo njia nyeupe no excuses

Hata Roy Keane last week akiwa Skysport alimweleza OGS hili, msimu huu hakuna kisingizio cha rebuilding process, watu wanataka kunyanyua makwapa,

OGS kama hamfahamu vizur Woodward akamulize Lvg na Mourinho, jamaa n kauzu barua ya Sacking anakukabidhi yeye mwenyew kw mkono wake
 
Timu inapofanya progress tunaacha kufanya usajili wa kuziba mapengo tunafanya usaji usio na msaada kwa timu.

Mfano msimu huu tulipaswa kusajili wachezaji hata watatu muhimu.

Right wing, central defender na Striker.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Amad Traore ni mzuri sana, ila kuna mambo 2

1. Ata cope na pressure ya kuchezea United na ligi ya Uingereza?

2. Hataathirika na poor coaching staff iliyopo?

Binafsi nimepanda usajili wake
Huyo Amad Traole kwa nilichokiona kwenye video zake basi sancho tunaweza kuachana nae tukaendelea kuchek mtu mwingine wa bei chee ni mzur sana tena sana kama anachokionesha kikaendelea had kwenye hii timu.
 
Kinachonikera kuhusu Ole ni uwezo wake wa kawaida sana wa kufundisha, lakini kikubwa kinachokera he is not bold, hawezi kusimamia anachokitaka

Ole alimuhitaji sana Sancho, Ole alihitaji sana kuimarisha beki ya kati, lakini akanyimwa hao watu... Lakini ameridhika tu kwa kuwa yeye kuendelea kuwa kocha man utd ni kama yupo peponi hivi, he can't stand up for what he wants
 
hizi ndio sajili zilizohitajika na target za uhakika zilikuwepo sokoni

Sancho na upermecano usajili wao haukuepukika.
mshambuliaji tungelipapatuana na wolves(kama tungelishindwa ndio tungelimtafuta cavani)

jumla: paundi millioni 180
Jimenez angeweza kucheza mfumo wowote pale united, na ameshaprove kwenye epl.
Right wing wangetafuta option nyingine au kumbadilishia majukumu Diogo Dalot kuwa right kuliko hawa watoto

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Board imemwangusha ili wapate muda wa kumfukuza

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Kibali cha kazi ndio kimezingua, sababu muda ulikwisha

Tunarudi kwenye bodi, kwani dirisha la usajili lilikuwa jana tu, miezi takribani 2... imepotea sababu ya Ed the banker who turn out to be Vice CO & sporting director of Manchester United
huyo dogo hakuwepo kwenye mipango rasmi ya klabu (hivi majuzi alivumishiwa kuelekea parma kwa mkopo ndio man utd wakajiingiza)

tumejificha hapa:
kama wao dortmund waliweza kumtengeneza sancho akiwa na umri mdogo kwa nini klabu yenye resource kama sisi tushindwe, wape euro millioni 30 hao wahuni wa Italy.

kwa dirisha dogo lijalo hatutamtafuta tena sancho (ufunguo wa sancho amekabidhiwa traore).
akicheza ovyo tunamrudia tena sancho huku tukiangalia muelekeo wa dembele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…