Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kumlaumu Woodward ni kumuonea tu saivi. Jamaa ametumia hela nyingi kununua wachezaji ambao walikuwa talent kabisa. Ishu ilokuwepo ni kocha, ukweli usemwe tu, ni MBOVU hajui analolifanya uwanjani wala analotaka. Wachezaji alokuwa nao ni wa kuhakikisha ushindi na kufungwa ni bahati mbaya tu. Watu wanajichezea tu uwanjani watakavyo na kocha anatizama tu.

OGS atoke tu, Man utd sio timu ya kuwa na manager ambae level zake ni za kufundisha Cardiff. Ushindi wetu kazi kutegemea penalties tu!
 
Yaani imefika muda Maguire anazidiwa hadi utulivu na Tyrone Mings wa Villa

Ama kwa hakika £85m is down the drain
Mr Drmian pole sana Chifu kwa kichapo cha leo. Ed Woodward mna mpango gani naye pale Man U? maana naona yuko kimaslahi tu wala haguswi kabisa na hali ambayo timu yenu inapitia Chifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…