My prob starting today isnt about players any more, ni huyu ole, nimejitahidi kumvumilia lakini naona kocha ana plan A siku zote, plan B kwakwe ni zero kabisaMan you said mfumo wa Kocha as if tunao hata huo mfumo. Tutamkataa huyu Cavani.
Nafikiri mechi ya leo imetuonyesha mapungufu ya Maguire msimu wa pili mfululizo tumemtwisha Lindelof.Pengine magwaya haoni yaani kamkaba shaw kamshika kabisa au alibet nn
Hata pogba asipocheza bado tm haionekani kuwa fit.Kitu ambacho hawajajua wenzangu au mm ndio sijui nilikiona muda mrefu sana bruno fernandez alikuwa akicheza vizur sana na timu ilikuwa sawa kipindi pogba anaumwa lakin aliporudi tu kila kitu kikaanza kuwa hovyo ina maana pogba na bruno kucheza kwa wakat mmoja haiwezekani lazima mmoja akae bench
Hata pogba asipocheza bado tm haionekani kuwa fit.
Pogba huwa anachelewesha sn mpira kiukweli.Mkuu tulicheza mech nne vizur bila pogba
Man u safiiiiiiii!!!Hivi kweli kabisa, una Pogba, Fernandes, Bissaka, VDB, DJ, Greenwood, Rashford, De Gea na bado unaamini anayefanya msishinde ni Woodward kwa kutokumsajili Sancho! Kwa kutokumsajili Telles!
Huwa mnawaza kwa kutumia nini wazee??
Ile pale Arsenal mkiiweka individually na wachezaji wenu hao ni nani superior? Kati wanamweka Xhaka, Elneny na kina Niles na nyie kati tu mna Pogba, Fernandes na VDB, yet wamebeba trophies! Achilia mbali usajili wao wa kusuasua mara mia ya kwenu.
Na bado unakaa kuamini sababu ni Woodward hatoi pesa. Woodward aliyetoa kifusi kumnunua Maguire, Fernandes, na VDB. Au ni mpaka atoe pesa kila anapoombwa ndo walau mfike hata nusu fainali?
Yani kabisa unabeba kichwa kinachoamini Manchester hii ni mpaka imsajili Sancho, Haaland, Telles na wengineo ndo iweze kudominate ikicheza na timu kama Brighton na Crystal Palace achilia mbali kushinda! ... unabeba kichwa kinachoamini ni mpaka msajili heavily ndo muweze ku-throw off stiff competition!
Basi hiko sio kichwa bali kifuniko cha shingo.
.
Fukuza huyoooo!!!My prob starting today isnt about players any more, ni huyu ole, nimejitahidi kumvumilia lakini naona kocha ana plan A siku zote, plan B kwakwe ni zero kabisa
Jamaa ni Die hard fan.Leo Evra ananikosha sana, anazungumza maneno ambayo kina Beckam, GNeville, scholes, Giggs, Ferdinand hawawezi kuyatamkaView attachment 1590373
Safiiiiii. Man u oyeeeeMan u safiiiiiiii!!!
Hatari sana; lakini ndiyo ndoa niliyoichagua. Na mimi ni mkatoliki!Adimu sana mzee, naona spurs wamekutoa pangoni
Man U Bado wanajadili kipigo cha Leo.
Unatumia mfumo usiokupa matokeo, hiyo ni akili?Ole hana tatizo kubwa sana kulinganisha na waliopita.,tatizo lake ni mfumo aliokuwa anautumia,,,akaona lukaku ni mzito,,apewe majukumu martial,,
Martial jukumu la no 9 haliwezi,,
So akija cavani tutacheza na mfumo .mwingine kabisa..
Martial atarudi left...cavani center forward...
Poleni sana...Hatari sana; lakini ndiyo ndoa niliyoichagua. Na mimi ni mkatoliki!