Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ningetegemea ole angejitahid kulinda heshima goli zisiongezeke,toa Pogba ingiza tominay au fred,pogba kazingua mazima leo,sidan kama kutoka kwa Martial ndo tim nzima icheze ujinga huu,bora ingekua kiungo
 
Aisee kweli kwa mwendo huu 30 years nimeanza kuiona halina ubish kwa sababu gani usajili unaofanywa unaweza kusema unaziba sehem fulan baadae panatoboka kwa hiyo hamna kusonga mbele mnarudi tena kutafuta bek bek lain ya united imekula hela san
Kocha mbovu, hjata waje akina Kolubaly na VVD, hana mbinu Ole sendeka, yeye anakula mshahara wa bure pale tu
 
Tayari mbn Bruno keshaanza kuwa hovyo mana haelewi tunacheza mfumo gn yn hovyo hovyo watu wanaingia kwenye njia zake yn hovyo kabisa.
 
Kocha mbovu, hjata waje akina Kolubaly na VVD, hana mbinu Ole sendeka, yeye anakula mshahara wa bure pale tu

Kwa kocha nakubaliana na ww kwa sababu muangalie martial kisha kula umeme halafu mbele kuna kane na son kashindwa kaziba nafasi wapunguze magoli yeye yupo tu uwezekano wa kushinda baada ya martial kutoka ulikuwa haupo spurs si wachovu wana timu nzur
 
Kocha mbovu, hjata waje akina Kolubaly na VVD, hana mbinu Ole sendeka, yeye anakula mshahara wa bure pale tu
Huu ndio ukweli mkuu kocha wao ndio tatizo..Unawaona Smalling au Evans anavyokichafua Leicester?

Ole anashusha ama anashindwa kupata kilicho bora toka kwa wachezaji. Huyu Bissaka enzi yupo C.Palace alikua hatari mtu wa kazi kwelikweli, kaja United kawa mlenda.
 

Aisee niliangalia mech ya brighton nilishangaa sana alivyoharibika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…